Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Nimekutana na wanawake wa Kizigua kama wewe (sijui kama wewe ni mzigua?), nimekutana na Wasambaa, nimekutana na Wadigo hukohuko kwao Tanga kwa muda nilioshi huko. Namshukuru Mungu nilishinda, lakini nikiri kwamba haikuwa kazi rahisi, niliponea chupuchupu. Wanawake wa Tanga ni moto wa kuotea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Walikufanyaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phd ya utundu ni utundu gani huo Mkuu?

Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
 
Taaaaangaaaa(in Kassim Mganga’s voice)

Nilikuwa sijui. Ngoja nikamtake Meko
 
Ushamba huo. Wanaume woote mnatueleza ujinga ujinga kama huu? Mwanamke a kitanga hana tofauti na mwanamke yoyote aliyeamua kumburudisha mwanaume. Tatizo mnaenda kuwavamia wakati bado nyi ma Juniors. Mi nishakuwa nao zaidi ya saba, wanakuchanganya wakutapeli ukiishiwa wanakutosa. Kwa mwenye akili mpaka hapo ushajua cha kufanya. Na wewe mwigizie akishtuka tembea katafute mjinga mwingine.
Tanga hapana mi niliuza ng'ombe Mungu tu ndiye aliyenitoa kule
 
Nina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa... Nilikuwa nikatembelee Tanga wiki hii kutoka huku Bara lakini naona nimeghairi, naweza nisirudi aisee! 😀😀
 
Kuna mwanangu alipata kazi huko si muda mrefu akaopoa mtoto wa kidigo jamaa alikua ananipa feedback anasema mzee mwenzangu ukisikia nimekufa usihangaike kutafuta muuaji ni raha tu zitaniua haka katoto kanaweka p#mb|_| kwemye sahani.. Kananinyonya hadi vidole vya miguu

Jamaa alikua haambiliki bahati nzuri alihamishwa kwazi ndio ikawa pona pona yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikufanyaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni story ndefu. Ila kwa ufupi ni kwamba wanajua sana kushawishi iwe kwa matendo au maneno, wanajua kubembeleza, na hawakati tamaa kirahisi pale wanapokuwa wameamua kukunasa. Sasa yanayofanyika baada ya mtu kunaswa hayo sina uzoefu nayo. Mimi nina uzoefu nao kabla ya kunaswa. Wakati nawindwa ili ninaswe. Bahati nzuri nilinusurika- ilibakia kidogo sana. Ikabidi nihame ili kujinusuru na mitego ile. Hatari sana. Tanga, Tanga, Tanga. I will never forget that City.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanangu alipata kazi huko si muda mrefu akaopoa mtoto wa kidigo jamaa alikua ananipa feedback anasema mzee mwenzangu ukisikia nimekufa usihangaike kutafuta muuaji ni raha tu zitaniua haka katoto kanaweka p#mb|_| kwemye sahani.. Kananinyonya hadi vidole vya miguu

Jamaa alikua haambiliki bahati nzuri alihamishwa kwazi ndio ikawa pona pona yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini asimuoe sasa kama alikuwa anapewa raha zote? Kwahiyo hao ni viburudisho tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom