Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Nitafika siku moja nikajionee maana katika mikoa 4 ambayo sijafika bongo hii, Tanga ni moja wapoNenda tanga ukaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafika siku moja nikajionee maana katika mikoa 4 ambayo sijafika bongo hii, Tanga ni moja wapoNenda tanga ukaone
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87]Wasambaa wa Soni hatari sana...wahuni wale wanawake.
Unadhani nini siri ya kutotumbulika?Waziri Ummy mwalimu anatoka tanga?
Mkuu Mimi mpaka leo sijapata ile taste/ladha niliyoonjeshwa na Toto la kisambaa .[emoji23]Hiyo ni kweli. Maana mi mwenyewe nimekuwa mgeni wa wanawake kwa sababu yake. Nimemwambia nimekuwa na wanawake kadhaa nimewazoea ila wewe ni MPYA kabisaa kwangu sijapata ona.
Uncle usishangae [emoji3][emoji3] nawajua hao watu[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87]
Jr[emoji769]
Ahahaha watoto wa Soni.Uncle usishangae [emoji3][emoji3] nawajua hao watu
Ni tia maji Mara moja wanachapika sana pande zile
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kawape hata Hi tu mkuu
Pole sana. Lakini napenda ufahamu kwamba kama wewe umeshindwa usifikiri kila mtu atashindwa kama wewe. Sisi wengine achilia mbali mitego tuliyowekewa- tumetongozwa kabisa lakini tukashinda hayo majaribu.Habari za jioni.
Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.
Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.
Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.
Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Sio wa kitanga tu,mwanamke yeyote akikutaka anakupata hata wa kantalamba au naminywiri.Habari za jioni.
Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.
Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.
Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.
Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu kama nimekumiss hiviiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mmekumiss zaidi Dada. Mzima lakini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu kama nimekumiss hiviiii
Hahhahhaah nipo poa dada akee hofu kwako tu ni kwamba niseme nimejilock down au [emoji134]Mie mmekumiss zaidi Dada. Mzima lakini?
Huyo shem ana kesi ya kujibu kwa kweli. [emoji85][emoji85] kukuficha hivyo ndo nini?
Pole sana. Lakini napenda ufahamu kwamba kama wewe umeshindwa usifikiri kila mtu atashindwa kama wewe. Sisi wengine achilia mbali mitego tuliyowekewa- tumetongozwa kabisa lakini tukashinda hayo majaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na wanawake wa Kizigua kama wewe (sijui kama wewe ni mzigua?), nimekutana na Wasambaa, nimekutana na Wadigo hukohuko kwao Tanga kwa muda nilioshi huko. Namshukuru Mungu nilishinda, lakini nikiri kwamba haikuwa kazi rahisi, niliponea chupuchupu. Wanawake wa Tanga ni moto wa kuotea mbali.Unajiweza. Yani nimpende mwanaume achomoe weeeeee.. kwanza atanitongoza yeye mwenyewe. Nikimkubali atajiona kawin kumbe nilikua namsubiri aseme nimkubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na wanawake wa Kizigua kama wewe (sijui kama wewe ni mzigua?), nimekutana na Wasambaa, nimekutana na Wadigo hukohuko kwao Tanga kwa muda nilioshi huko. Namshukuru Mungu nilishinda, lakini nikiri kwamba haikuwa kazi rahisi, niliponea chupuchupu. Wanawake wa Tanga ni moto wa kuotea mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app