Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

[emoji23]Hiyo ni kweli. Maana mi mwenyewe nimekuwa mgeni wa wanawake kwa sababu yake. Nimemwambia nimekuwa na wanawake kadhaa nimewazoea ila wewe ni MPYA kabisaa kwangu sijapata ona.
Mkuu Mimi mpaka leo sijapata ile taste/ladha niliyoonjeshwa na Toto la kisambaa .

Hapo kati maigizo Kama 10 yaliyipita since 2017 Ila wapi sijaona ladha Kama ile ya mapenzi

Until leo namkubali vilivyo huwa naonana nae kitaa Ila ndio hivyo hataki Tena nimsugue Ila tunaongea Kama kawa Kama hakuna kilichotokea Kati yetu.

Nilifanya msala mmoja mkubwa sana demu akamaindi sana .

Ila lazima siku moja nitapasha kiporo .[emoji39]

Hata kwa ushawishi wa pesa ile ladha Sio ya dunia hii [emoji3]

Daah watitot wa kitanga nuksi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabara mkija hapa tanga huwa mnajiabisha sana

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Pole sana. Lakini napenda ufahamu kwamba kama wewe umeshindwa usifikiri kila mtu atashindwa kama wewe. Sisi wengine achilia mbali mitego tuliyowekewa- tumetongozwa kabisa lakini tukashinda hayo majaribu.

Sio wa kitanga tu,mwanamke yeyote akikutaka anakupata hata wa kantalamba au naminywiri.
 
Unajiweza. Yani nimpende mwanaume achomoe weeeeee.. kwanza atanitongoza yeye mwenyewe. Nikimkubali atajiona kawin kumbe nilikua namsubiri aseme nimkubali
Pole sana. Lakini napenda ufahamu kwamba kama wewe umeshindwa usifikiri kila mtu atashindwa kama wewe. Sisi wengine achilia mbali mitego tuliyowekewa- tumetongozwa kabisa lakini tukashinda hayo majaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiweza. Yani nimpende mwanaume achomoe weeeeee.. kwanza atanitongoza yeye mwenyewe. Nikimkubali atajiona kawin kumbe nilikua namsubiri aseme nimkubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na wanawake wa Kizigua kama wewe (sijui kama wewe ni mzigua?), nimekutana na Wasambaa, nimekutana na Wadigo hukohuko kwao Tanga kwa muda nilioshi huko. Namshukuru Mungu nilishinda, lakini nikiri kwamba haikuwa kazi rahisi, niliponea chupuchupu. Wanawake wa Tanga ni moto wa kuotea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom