Nitafutie binti wa kitanga wa kunitaka basi mama naniiii maana wewe ushaghairi kunitaka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafutie binti wa kitanga wa kunitaka basi mama naniiii maana wewe ushaghairi kunitaka.
Soma kichwa cha uzi basi bebe kimya kimya.
Nimekutana na wanawake wa Kizigua kama wewe (sijui kama wewe ni mzigua?), nimekutana na Wasambaa, nimekutana na Wadigo hukohuko kwao Tanga kwa muda nilioshi huko. Namshukuru Mungu nilishinda, lakini nikiri kwamba haikuwa kazi rahisi, niliponea chupuchupu. Wanawake wa Tanga ni moto wa kuotea mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kichwa cha uzi basi bebe kimya kimya.
Habari za jioni.
Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.
Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.
Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.
Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Habari mkuu BAK... nimefurahi sana sana kukuonaPhd ya utundu ni utundu gani huo Mkuu?
Tanga hapana mi niliuza ng'ombe Mungu tu ndiye aliyenitoa kule
Afadhali kama umejilock down Dada mana hii Corona hapana aisee.Hahhahhaah nipo poa dada akee hofu kwako tu ni kwamba niseme nimejilock down au [emoji134]
Hahaaa... Nilikuwa nikatembelee Tanga wiki hii kutoka huku Bara lakini naona nimeghairi, naweza nisirudi aisee! ππNina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante dada akee uwe na asubuhi njemaAfadhali kama umejilock down Dada mana hii Corona hapana aisee.
Haya mefurahi kukuona.
Ahahah hatari mkuu jamaa mmoja ana waita shwain!!!
Mimi niko poa kabisaNamshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa ππ½, vipi wewe hali yako?
Ni story ndefu. Ila kwa ufupi ni kwamba wanajua sana kushawishi iwe kwa matendo au maneno, wanajua kubembeleza, na hawakati tamaa kirahisi pale wanapokuwa wameamua kukunasa. Sasa yanayofanyika baada ya mtu kunaswa hayo sina uzoefu nayo. Mimi nina uzoefu nao kabla ya kunaswa. Wakati nawindwa ili ninaswe. Bahati nzuri nilinusurika- ilibakia kidogo sana. Ikabidi nihame ili kujinusuru na mitego ile. Hatari sana. Tanga, Tanga, Tanga. I will never forget that City.
Kwanini asimuoe sasa kama alikuwa anapewa raha zote? Kwahiyo hao ni viburudisho tu?Kuna mwanangu alipata kazi huko si muda mrefu akaopoa mtoto wa kidigo jamaa alikua ananipa feedback anasema mzee mwenzangu ukisikia nimekufa usihangaike kutafuta muuaji ni raha tu zitaniua haka katoto kanaweka p#mb|_| kwemye sahani.. Kananinyonya hadi vidole vya miguu
Jamaa alikua haambiliki bahati nzuri alihamishwa kwazi ndio ikawa pona pona yake
Sent using Jamii Forums mobile app