Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Noma sana,hata kama ulikuwa huna lengo la kugonga utabidi ugonge tu[emoji1787]
 
Umemuoa sasa?
 
Nilipo uona huu uzi, nilianza kumtafut mwali wa kitanga..Hammad mzigua kitaani huyoo...dua zenu mabaharia ni muhimu.ili nami nilete ushuhuda
 
Una roho mbaya aisee.
Ungemwoa mwana wa daktari.
Alikuw tiyari hata serikali kumaanisha hata dini angebadili awe mkatoliki kama wewe.
Ila una roho mbaya kama nguchiro wakati alikufaidi na kukupa msaada na hata kutokusumbua kwa kuwachakata mabinti wengine
Watu wa kanda ya Ziwa mna roho hizo. Hamna shukrani wala ihsani
 
Wasambaa wa Soni hatari sana...wahuni wale wanawake.
Wachawi hatari,mi nilioa msambaa wa lukozi alinikosanisha na ndg zangu wote,nilikula milimbwata ya kutosha yaani mpaka nampa talaka mshenzi yule alipachikwa mimba na mchepuko wake,mungu alikuwa upande wangu,nikisikia wanaongea kisambaa hata kwny daladala najiona siko salama nashuka kudadadeki.
 
Ahahahaha pole sana.
 
Wanaachika kwa sabb ni rahisi sana kugawa tunda hata kwa ndugu wa mume.. Karibu Tanga.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…