jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
dah mleta mada wewe umepatwa ila mimi nilimpata mmoja huyo,nahisi yule alikuwa na pepo maana kila saa anataka awe kifuani nakumbuka ndo alikuwa yupo likizo nakumbuka hela yake ya likizo aliitumia yote tukiwa ndani tualikuwa hataki nitoke nje ndani ya week 3 sikukanyaga nje,wapangaji wakawa wanaskia inavyoilalamikia basi toka hapo ilikuwa wakiskia tu unafngua mlango uende uani basi ote wanatoka mwenye kuvaa kanga moja mwenye kuvaa night dress maana nyumba ilikuwa ina viji apartment wapngaji kama watano,mwisho waume zao wakaniweka chini wakanipa mkwala mi nacheka tu.
dah sitaisahau tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
dah sitaisahau tanga
Sent using Jamii Forums mobile app