Nikionaga hizi stori za wanawake wa TA huwa nacheka sana,eti ukikamatwa umekamatika hah hahah hah siwezi jua kwa wenzangu huwa mnapewa nini extra ila kama ni mahaba tu kitandani na madikodiko mezani hakika mimi niliruka viunzi,
Nimesoma chuo cha ualimu Sahare TTC miaka miwili,nililipoti late sana sababu ya noti za kuunga unga maskani kwetu kanda ya ziwa bush ndani ndani huko.Ile nafika tu ndani ya wiki moja nikapata kitoto cha kisambaa white na tako kama lote hadi linachongulia kwenye zile nguo zao nimechapa sana tu nikaona mmoja tu sitaifaidi nikawa nao kama 4 hivi ni kugawa sperm tu no way out,mwaka wa pili maisha yakapinda hatari mother yangu akaugua na ndiyo alikuwa kila kitu,ile tumefunga nikatembea Dar kusaka vibarua kwenye kampuni la vinywaji baridi nikapiga kazi likizo nzima nikapata pesa kidogo yote nikalipa ada nusu mhula,nikabaki empty set lakini mademu zangu ndiyo walinilea mpaka kula na emergency za hapa na pale,Kuna huyu nlikuja kumpata mwaka wa pili naelekea kumaliza nusu mhula yeye akanihamisha na geto kabisa akasema nikapange pale alipopanga yeye,basi tukawa mke na mume kabisa na kwa bahati nzuri mwaka huohuo mzee wake Daktari mstaafu ndiyo alikutwa amepewa mafao basi demu alikuwa na noti za kutosha alinihudumia kila kitu mpaka na pocket money,
Akaanza kuniita Abdul badala ya jina langu la kikristu na nilimwahidi nitabadili dini soon ili tufunge ndoa ya kiislamu,wala sikuwa na mpango huo ila niliamua kuenenda kama anavyotaka ili nitimize adhima yangu.
Mpaka namaliza chuo ndoto zetu zilikuwa tuoane kabisa na alikuwa tayari tufunge ndoa,
Nilipomaliza chuo hata hela ya kukomboa cheti changu sikuwa nayo ikabidi nirudi Dar tena vibaruani ili kusaka hela ya kukomboa vyeti,akanipa nauli na kuendelea kuwasiliana na ikumbukwe muda huohuo nilikuwa nachakata zile pisi mbili kwa nyakati tofauti.
Muda wa kwenda JKT ukafika nikasepa zangu Arusha ile tunakuja kumaliza mafunzo tulikaa kidogo tu ajira zikatoka,wote tukatupwa kanda ya ziwa mikoa tofauti mimi home,yeye ugenini ndoto zetu za kuoana zikafifia kwanza swala la kubadili dini nikasema siwezi,akasema basi tufunge ndoa ya kiserikali nikaona itaniletea matatizo mbeleni hasa kwa wanangu,
Hadithi za watoto wa Kitanga zikaishia hapo,kila manzi alijipa asilimia za kuwa Mrs, lakini wala sikufikiria kabisa kuoa mwanamke wa Pwani hasa kwa yale niliyoyaona kwa muda huo niliokaa huko.
Sasa nikisikia habari za kukamatika Washikaji huwa nacheka sana.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using
Jamii Forums mobile app