KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nilitaka kusema kitu lakini nikakumbuka kuwa hii ni nchi ya ki demokrasia na hii ndio demokrasia yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Umeona na wewe Sesten.Hata mimi naona kama hii ni chai tu
Mama mkubwa shikamoo.
hilo paja kulia limepigwa shot?![]()
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa na kulalamika kuwa mahaba yao wakafanyie chumbani....
Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu"
nimekipenda kiingereza chako mkuu..teh...teh...!!where is jf going?
Marhabaaa mwanangu. Koh koh kohMama mkubwa shikamoo.
Ukweli ni upi Dada?
Hahahaaaa. Mie Mtanga ujue.Ukweli ni upi Dada?
Kumbe wanawaonea tu Eeeh!,haya poleni sana Dada zangu wa Tanga.Hahahaaaa. Mie Mtanga ujue.
Watu wa Tanga huwa tuna stara hivyo mambo ya chumbani hatuwezi kuyafanya hadharani hata siku moja. Ukiona mtu anajifanyia mambo ya ajabu ujue anatumia kivuli cha Utanga ila sio Mtanga.
Hamna kitu kama hicho kaka.Kumbe wanawaonea tu Eeeh!,haya poleni sana Dada zangu wa Tanga.
Kumbe we ni mtoto wa kitanga,aisee[emoji4] [emoji4]Hahahaaaa. Mie Mtanga ujue.
Watu wa Tanga huwa tuna stara hivyo mambo ya chumbani hatuwezi kuyafanya hadharani hata siku moja. Ukiona mtu anajifanyia mambo ya ajabu ujue anatumia kivuli cha Utanga ila sio Mtanga.
Hahahaaa. Ndio aiseee. [emoji85] [emoji85]Kumbe we ni mtoto wa kitanga,aisee[emoji4] [emoji4]
Basi utakuwa fundi kweli kweli,and your smartHahahaaa. Ndio aiseee. [emoji85] [emoji85]
Duuh! Haya bana Mkuu.Basi utakuwa fundi kweli kweli,and your smart
Me mzima,sijui wewe.Duuh! Haya bana Mkuu.
Mzima lakini?
Mie pia sijambo.Me mzima,sijui wewe.
Sifa zenu huwa naziskiaga tu
Tena haina hata viungoHii ni chai