Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

Nilitaka kusema kitu lakini nikakumbuka kuwa hii ni nchi ya ki demokrasia na hii ndio demokrasia yenyewe
 
tanga.jpg

Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa na kulalamika kuwa mahaba yao wakafanyie chumbani....

Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu"
hilo paja kulia limepigwa shot?
 
mbona picha ya Linah na Diamond kwenye Fiesta ya mwaka...201...?!
IMG-20180414-WA0005.jpg
 
Hahahaaaa. Mie Mtanga ujue.

Watu wa Tanga huwa tuna stara hivyo mambo ya chumbani hatuwezi kuyafanya hadharani hata siku moja. Ukiona mtu anajifanyia mambo ya ajabu ujue anatumia kivuli cha Utanga ila sio Mtanga.
Kumbe wanawaonea tu Eeeh!,haya poleni sana Dada zangu wa Tanga.
 
Hahahaaaa. Mie Mtanga ujue.

Watu wa Tanga huwa tuna stara hivyo mambo ya chumbani hatuwezi kuyafanya hadharani hata siku moja. Ukiona mtu anajifanyia mambo ya ajabu ujue anatumia kivuli cha Utanga ila sio Mtanga.
Kumbe we ni mtoto wa kitanga,aisee[emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom