Mwanamke wa kunipa mtoto tu

Kuna maisha mengine kipindi unayaanza unajiona mjanjaaa lakini ukija gundua kuwa kumbe ulipotea njia 20 yrs ago....depression inaanza. 40 yrs bila mke? Hivi huko kwenu daslama ubize wenu hauishi?
Member kama huyu ukute hilo wazo kapewa na mwenzie....wametumia siku nzima kulijadili hatimae amefika hapa. So pathetic.
 
Mbna watu wengi hawana mademu wengi sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri fanya hvyo tu mm nimependa sna sababu zako je unataka tu awe jf au je mwanamke akiwa na mtot tayari umpi kipaumbele

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu at ur age 40 yrs ur still young Sion umuhimu wa kuokoteza Mwanamke

JAyz alimuoa Beyonce akiwa na umri wa miaka 40.
Kwahiyo nirudi zangu Bk nifanye msako siyo? Au this time niende kule Karagwe -Omurushaka? [emoji12][emoji12]

Nashukuru kunitia moyo mkuu, sitaki kuokoteza, lkn pia sitaki kujipa tabu za kufungishana mambo ya ndoa na mtu hata simjui jion hii.

Yaani me nataka tuanze tukiwa hatuna hizo expectations kama gari litawaka sawa, otherwise kila mtu awe huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…