Mwanamke wa kuzaa naye mtoto

JF vidume tunaisha [emoji23][emoji706][emoji706]
 
Dume shupa
 
Ili uzae naye sii lazima awe demu?
 
Kuna jamaa amefanya kama unavotaka ww ila demu kajengewa nyumba kali tu + hela na matunzo ya mtoto,naona ww unataka bure kabisa..
Sio bure mkuu mambo mengine ni yakuyajenga inbobo. Siwezi kuweka Kila kitu hazarani ndio maana nilisema nitamtunza mtoto na pia hauzi kumtunza mtoto bila mamake kufaidi.
 
safi sana, Tukatae Ndoa kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…