Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dume shupaHusika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.
Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji kuzaa mtoto. Matunzo yote ya mtoto ni juu yangu mimi kama baba.
NB: Ambae yuko tayari kuzaa mtoto siitaji demu. Kama kuna ambaye yupo tayari plz njoo inbox.
Ili uzae naye sii lazima awe demu?Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.
Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji kuzaa mtoto. Matunzo yote ya mtoto ni juu yangu mimi kama baba.
NB: Ambae yuko tayari kuzaa mtoto siitaji demu. Kama kuna ambaye yupo tayari plz njoo inbox.
Sio bure mkuu mambo mengine ni yakuyajenga inbobo. Siwezi kuweka Kila kitu hazarani ndio maana nilisema nitamtunza mtoto na pia hauzi kumtunza mtoto bila mamake kufaidi.Kuna jamaa amefanya kama unavotaka ww ila demu kajengewa nyumba kali tu + hela na matunzo ya mtoto,naona ww unataka bure kabisa..
Ndo tunachotaka kiukweliKuna jamaa amefanya kama unavotaka ww ila demu kajengewa nyumba kali tu + hela na matunzo ya mtoto,naona ww unataka bure kabisa..
safi sana, Tukatae Ndoa kwa nguvu zoteHusika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.