Mwanamke wa kuzaa naye


Shekeli mkuu tatizo shekelii
 
Mkuu sidhan kama utampata mwanamke wa vigezo vyako, labda huyo mwanamke awe zwazwa
 
Mbona hawa mnaowaita "single mothers" wamezaa/ wamezalishwa na watu wenye umri kama wa huyo jamaa tu.


Huyu amekuwa muwazi kuwa anachotaka ni kuzaa na mtu na sio ujanja ujanja wa vijana wa kuwatia mimba akina dada kisha wanapotea.

Inawezekana kuna binti pia hitaji lake ni mtoto na sio ndoa.

Kwa nini Watanzania hampendi ukweli? Unataka aandike anataka kuoa wakati sicho anachotaka?

Hizi dini zilizokuja na Wazungu (wakoloni) na Waarabu ( watesaji na wafanya biashara ya watu) ndizo unataka zimuamulie jamaa namna ya kuishi?



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kuna mtu asietaka K ya bure ?

mkuu, wakija wengi nipasie mmoja aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…