Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri: 31.
Kazi: mjasiriamali
Nia: mwanamke wa kuzaa naye mtoto.
Swali 1: Ni changamoto gani unazokutana nazo katika kutafuta wanawake katika mazingira yanayokuzunguka mpaka kukupelekea kuanza kutafuta mtandaoni, ukilinganisha wewe ni mjasiriamali na nina uhakika unakutana na watu wengi katika harakati za shughuli zako, hakuna hata mmoja uliyebahatika? Kama hapana kwanini?
Swali 2: Kwanini wa kuzaa naye tu watoto na ndoa kuwekwa kama optional?? Nia yako ni watoto tu? Na kwanini watoto?
Umri wako mkuu ni ajabu sana kutafuta mwanamke wa kuzaa naye tu tena mtandaoni, lazima kuna kitu hakipo sawa kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sidhan kama utampata mwanamke wa vigezo vyako, labda huyo mwanamke awe zwazwa
Mbona hawa mnaowaita "single mothers" wamezaa/ wamezalishwa na watu wenye umri kama wa huyo jamaa tu.Umri: 31.