Mwanamke wa mkoani kaniingiza mjini, naomba msaada wenu

Wasalaam,

Ebana sina mengi sana, ila ni kwamba nimeingizwa mjini kiasi cha kuharibu msimamo wangu niliojiwekea maishani mwangu. Iko hivi nimekua na mahusiano tofauti tofauti kwa wakati mmoja huku nikizingatia usalama wa Afya yangu (lazima tupime VVU) kabla ya kula mzigo.

Kwa bahati nzuri hawa mademu nakuaga nao wananikubali sana yaani ni kama makondoo kwangu na mi mchunga wao, kila nisemalo wanafuata.

Hasa kwenye kipengele cha kushika mimba (maana karibu wote wanataka kubeba mimba yangu) sasa nimewapiga biti kwamba wakibeba tu mi napiga chini kabisa na kuikana hio mimba, so ka anataka asubiri nikimuoa.

So mambo ya kumimina nje ya kikombe mi sio shida kwangu akizingua namgonga P2.

Sasa nilitokewa mtandaoni WhatsApp group ya kuuza vitu online na dada mmoja single maza kutoka mkoani huko wale wa kujinyonga.

Sikua na hiyana nikijua yuko mbali ntamzuga zuga bana na hivo nimeona ni mkubwa kanizidi ka 3 yrs. Kumbe bana alikua serious akajilipia nauli mwenyewe mpaka Dar, nikagonga show moja hatari saana maana ye mwenyewe ni master ukiwa mzembe anakukata pumzi, basi alizidi kunielewa akaniambia hata nifanyeje hapindui maana hajawahi kutana na mwanaume wa Dar strong hivi ka natoka milimani huko😁😁

Kurudi huko mkoani kila saa msg simu fulu vurugu ameimiss amenimiss akafunga tena safari akaja tena kama kawa ila baada ya first round bila ku withdraw ananiambia yupo siku 15 hivo anaweza shika mimba, nikamwambia ni makosa akasema atakunywa P2 nikasema 👍. Siku ya 3 ananiambia ndo amemeza P2.

Akawa analalamika anajiskia vibaya nikamwabia ni dawa izo so hali ilipo zidi anadai ameenda hospital amekutwa na ujauzito, na anadai ni wangu hivo amechanganyikiwa hajui afanyeje!

Sikumjibu kitu, akaja na wazo aitoe nikamwambia sijawahi na sitowahi kumshawishi mtu atoe mimba, so ataamua chakua amua nami nitamkubali mtoto mpaka hapo atakapo zaliwa na kumpima DNA. JE, NIKO SAHIHI?
Ilibidi uandike kwa mfumo huu👇

Kichwa Cha Habari: RIJALI WA MJINI

Kiini:

Dada zangu mnao soma uzi huu…naitwa Baba_______, mimi ni malier… Rijali…najua kukazana sana, ila pesa sina…nauli una jilipia.

Ukipata mimba utalea mwenyew…je’ unataka kuenjoy kama ambavyo wenzako hua wana enjoy? Karibu pm.

NB: Wamama nawamudu pia

Hitimisho: 07xxxxxxxx.

😂Uhaya mwingi sana😂
 
wameshtuka wadada wengi wanabeba mimba za watu so kua avoid watoto wasio na wazazii wengi majibu n + labda uwe na nduguyako upande wa mwanaume kule aamue kujilipua kukupa ukweli

familia nyingi zinaishi na watoto wa watu zinatunza chasska sasa ujue Mungu alivto fundi yule unaemuhisi sio wakooo yaan kuanzia shule kimaishaa anakuja kutoboa kulikoo unavyofikfirii

M ukweli natunza woteeee hatakama wa kakayangu ama lah m natunza tu ipo siku watanikumbuka dady alipambana na sisi woiiiiiii kisa cha kufa uzee huu nani anataka
Bonge la fact ndo mana nimekataa abortion
 
Ilibidi uandike kwa mfumo huu👇

Kichwa Cha Habari: RIJALI WA MJINI

Kiini:

Dada zangu mnao soma uzi huu…naitwa Baba_______, mimi ni malier… Rijali…najua kukazana sana, ila pesa sina…nauli una jilipia.

Ukipata mimba utalea mwenyew…je’ unataka kuenjoy kama ambavyo wenzako hua wana enjoy? Karibu pm.

NB: Wamama nawamudu pia

Hitimisho: 07xxxxxxxx.

😂Uhaya mwingi sana😂
Kmmk🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 fwala saana wewe
 
Wasalaam,

Ebana sina mengi sana, ila ni kwamba nimeingizwa mjini kiasi cha kuharibu msimamo wangu niliojiwekea maishani mwangu. Iko hivi nimekua na mahusiano tofauti tofauti kwa wakati mmoja huku nikizingatia usalama wa Afya yangu (lazima tupime VVU) kabla ya kula mzigo.

Kwa bahati nzuri hawa mademu nakuaga nao wananikubali sana yaani ni kama makondoo kwangu na mi mchunga wao, kila nisemalo wanafuata.

Hasa kwenye kipengele cha kushika mimba (maana karibu wote wanataka kubeba mimba yangu) sasa nimewapiga biti kwamba wakibeba tu mi napiga chini kabisa na kuikana hio mimba, so ka anataka asubiri nikimuoa.

So mambo ya kumimina nje ya kikombe mi sio shida kwangu akizingua namgonga P2.

Sasa nilitokewa mtandaoni WhatsApp group ya kuuza vitu online na dada mmoja single maza kutoka mkoani huko wale wa kujinyonga.

Sikua na hiyana nikijua yuko mbali ntamzuga zuga bana na hivo nimeona ni mkubwa kanizidi ka 3 yrs. Kumbe bana alikua serious akajilipia nauli mwenyewe mpaka Dar, nikagonga show moja hatari saana maana ye mwenyewe ni master ukiwa mzembe anakukata pumzi, basi alizidi kunielewa akaniambia hata nifanyeje hapindui maana hajawahi kutana na mwanaume wa Dar strong hivi ka natoka milimani huko😁😁

Kurudi huko mkoani kila saa msg simu fulu vurugu ameimiss amenimiss akafunga tena safari akaja tena kama kawa ila baada ya first round bila ku withdraw ananiambia yupo siku 15 hivo anaweza shika mimba, nikamwambia ni makosa akasema atakunywa P2 nikasema 👍. Siku ya 3 ananiambia ndo amemeza P2.

Akawa analalamika anajiskia vibaya nikamwabia ni dawa izo so hali ilipo zidi anadai ameenda hospital amekutwa na ujauzito, na anadai ni wangu hivo amechanganyikiwa hajui afanyeje!

Sikumjibu kitu, akaja na wazo aitoe nikamwambia sijawahi na sitowahi kumshawishi mtu atoe mimba, so ataamua chakua amua nami nitamkubali mtoto mpaka hapo atakapo zaliwa na kumpima DNA. JE, NIKO SAHIHI?
DNA ya nini wakati ulienda kavu kavu we lea hata kama si wako binti kaona wewe unayaweza.
 
Nkajua kakuingiza mjini kwa maswala ya pesa, kakupiga kibunda.
Vijana wa mjini tukisikia neno kuingizwa mjini kwenye story tunasoma ili tuone mbinu mpya. Kumbe unazungumzia mimbo boy
 
Hujui watu wanapigwa pesa za abortion fake?? Au kulea mimba zisizowahusu??
 
DNA ya nini wakati ulienda kavu kavu we lea hata kama si wako binti kaona wewe unayaweza.
Nayaweza wap wakati kila kitu anajigharimia mwenyewe?? Sema anajimudu kimaisha ndo mana
 
Back
Top Bottom