Mwanamke wa Tanzania ukimtongoza tuu anageuka yatima

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,194
Reaction score
1,636
Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo

Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka kodi anataka ulipe

Wanawake mbadilike ndyo maana mnaishia kuwa wapenzi watazamaji
 
Wengi wao wanajiuza kwa mtindo huo, hivyo kuna ukahaba wa sehemu za starehe wakiwa kama wateja, ukahaba wa kusimama mbele za watu kungojea wateja na ukahaba huu wa kimya kimya.
hivyo sio uyatima bali ni katika kuhakikisha biashara haimkati.
 
Mimi wakianza kuomba wala sijibu sms zao narukia mwengine tu, hao wenye kuomba watawapata vilaza wenzao.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wengi wao wanajiuza kwa mtindo huo, hivyo kuna ukahaba wa sehemu za starehe wakiwa kama wateja, ukahaba wa kusimama mbele za watu kungojea wateja na ukahaba huu wa kimya kimya.
hivyo sio uyatima bali ni katika kuhakikisha biashara haimkati.
Ila wamezidi
 
Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo

Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka kodi anataka ulipe

Wanawake mbadilike ndyo maana mnaishia kuwa wapenzi watazamaji
pole sana mkuu kwa yaliyokukuta , wanawake wa mbagala ni hatari sana .
 
Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo

Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka kodi anataka ulipe

Wanawake mbadilike ndyo maana mnaishia kuwa wapenzi watazamaji
Acha kudhalilisha mayatima. Ina maana hakuna lady yatima aliye mwajibikaji kwa maisha yake had ategemee watu kama wewe? Kama unakutana na watu wa aina hiyo basi unafanana nao. Usiniulize kwa nini
 
Hata hapa Jf wapo, penye wengi pana mengi ndugu
kama hana akili achana naye, mwachie mzee wa chura na wengineo.
jambo la msingi katika uchaguzi anzia kichwani na sio chini/ kalio/ dyudyu
 
Kwani lazima mtongoze? Kutongoza kwenu kunatuletea matatizo mengi Sana hamjui tu. Kama mnatupa kamkosi hivi.. Mara gas inaisha, luku inaisha, mama anaumwa ghafla, kodi ya NYUMBA inaisha. Acheni kutongoza mtusaidie tusipate matatizo
 
Mkuu kama unavyojua kwa sisi wanaume kipaumbele kwenye kuchagua hivi viumbe uwa tunaanza na sura au umbo, sasa tatizo inakuja akili na tabia ni umbo la ndani kwahiyo kupata bidhaa ya namna hii ni mpaka utembee tembee kidogo mitaa miwili mitatu yenye mambo kama ya hii sredi
 
kama ni kupiga na kutembea hapo sawa lakini sio mke wa kukuzalia watoto.
wanawake hovyo wa kuomba ushauri jf???!!!
mke ana kifua cha kulea familia na kumlinda mume hata iweje anabaki na siri, mshauri mzuri wa familia, anawaza maendeleo na sio kujaza mikufu na nguo pekeee.

Mitandao ya kijamii ina maana pana sana yani wale wanawake ambao wapo badoo facebook na insta wapo pia na huku, hapo ndo mke wa mtu anakuja kuomba ushauri jf anataka ashauriwe na mtumiaji wa badoo😂, wanawake kizazi cha simu janja hawa so wakuoa
 
UKIACHWA NA MWANAMKE ANAYEKUOMBAOMBA PESA NI SAWA NA KUMALIZA MKOPO BENKI
 
Kwani lazima mtongoze? Kutongoza kwenu kunatuletea matatizo mengi Sana hamjui tu. Kama mnatupa kamkosi hivi.. Mara gas inaisha, luku inaisha, mama anaumwa ghafla, kodi ya NYUMBA inaisha. Acheni kutongoza mtusaidie tusipate matatizo
Tusipotongoza skills zinaweza potea, kwa hiyo lazima tunoe makali. Ila Mimi naamini demu anayekupenda hawezi kukuchuna, ukianza kuleta habari hizo za luku imeisha, ntakupatia kama nikiona value for money, na nitato.mba ntakimbia.
 
Mfano ni huyu hapa[emoji23][emoji23]
Anataka kodi mi nikamuangalia moyoni nikajisemea hiiiiiii (in JPM's voice
20181011_062120.jpg
 
Back
Top Bottom