okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
Kwani lazima mtongoze? Kutongoza kwenu kunatuletea matatizo mengi Sana hamjui tu. Kama mnatupa kamkosi hivi.. Mara gas inaisha, luku inaisha, mama anaumwa ghafla, kodi ya NYUMBA inaisha. Acheni kutongoza mtusaidie tusipate matatizo
Hahaha kuna mdada mmoja mzuri tu nahisi mpaka leo ananichukia, coz alinitamani na alinionesha ishara nimtongoze, nilimwelewa..ila kwa makusudi mm sikumtongoza. Mzigua90