steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Ila wamezidiWengi wao wanajiuza kwa mtindo huo, hivyo kuna ukahaba wa sehemu za starehe wakiwa kama wateja, ukahaba wa kusimama mbele za watu kungojea wateja na ukahaba huu wa kimya kimya.
hivyo sio uyatima bali ni katika kuhakikisha biashara haimkati.
Biashara haina kikomo cha kupokea pesaIla wamezidi
pole sana mkuu kwa yaliyokukuta , wanawake wa mbagala ni hatari sana .Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo
Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka kodi anataka ulipe
Wanawake mbadilike ndyo maana mnaishia kuwa wapenzi watazamaji
Acha kudhalilisha mayatima. Ina maana hakuna lady yatima aliye mwajibikaji kwa maisha yake had ategemee watu kama wewe? Kama unakutana na watu wa aina hiyo basi unafanana nao. Usiniulize kwa niniWanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo
Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka kodi anataka ulipe
Wanawake mbadilike ndyo maana mnaishia kuwa wapenzi watazamaji
Hata hapa Jf wapo, penye wengi pana mengi ndugumnatoaga wapi wanawake wajinga?
kama hana akili achana naye, mwachie mzee wa chura na wengineo.Hata hapa Jf wapo, penye wengi pana mengi ndugu
Mkuu kama unavyojua kwa sisi wanaume kipaumbele kwenye kuchagua hivi viumbe uwa tunaanza na sura au umbo, sasa tatizo inakuja akili na tabia ni umbo la ndani kwahiyo kupata bidhaa ya namna hii ni mpaka utembee tembee kidogo mitaa miwili mitatu yenye mambo kama ya hii sredikama hana akili achana naye, mwachie mzee wa chura na wengineo.
jambo la msingi katika uchaguzi anzia kichwani na sio chini/ kalio/ dyudyu
Mkuu kama unavyojua kwa sisi wanaume kipaumbele kwenye kuchagua hivi viumbe uwa tunaanza na sura au umbo, sasa tatizo inakuja akili na tabia ni umbo la ndani kwahiyo kupata bidhaa ya namna hii ni mpaka utembee tembee kidogo mitaa miwili mitatu yenye mambo kama ya hii sredi
Mitandao ya kijamii ina maana pana sana yani wale wanawake ambao wapo badoo facebook na insta wapo pia na huku, hapo ndo mke wa mtu anakuja kuomba ushauri jf anataka ashauriwe na mtumiaji wa badoo😂, wanawake kizazi cha simu janja hawa so wakuoakama ni kupiga na kutembea hapo sawa lakini sio mke wa kukuzalia watoto.
wanawake hovyo wa kuomba ushauri jf???!!!
mke ana kifua cha kulea familia na kumlinda mume hata iweje anabaki na siri, mshauri mzuri wa familia, anawaza maendeleo na sio kujaza mikufu na nguo pekeee.
Tusipotongoza skills zinaweza potea, kwa hiyo lazima tunoe makali. Ila Mimi naamini demu anayekupenda hawezi kukuchuna, ukianza kuleta habari hizo za luku imeisha, ntakupatia kama nikiona value for money, na nitato.mba ntakimbia.Kwani lazima mtongoze? Kutongoza kwenu kunatuletea matatizo mengi Sana hamjui tu. Kama mnatupa kamkosi hivi.. Mara gas inaisha, luku inaisha, mama anaumwa ghafla, kodi ya NYUMBA inaisha. Acheni kutongoza mtusaidie tusipate matatizo