Mwanamke wa uswahilini

Duh! Aisee
 
Nakazia
 
Yaani watu wa humu wanaocheka wenzao, ndio wanaohitaji msaada

Tatizo kujitia wa ushuani kumbe njaa tupu wanaishi kwa mama kibonge na getini kwao wameandika tunauza ice cream na barafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣wehu wamoja!
 
Tabia na maisha ya uswazi ni ya kujitakia. Mbona mikoani huko vijijini watu wanaishi kwenye umaskini kuliko hata Uswazi lakini wakazi wake wana tabia nzuri? Ukitaka kujua wanawake wa Uswazi (siyo wote lakini asilimia kubwa) wana tabia za ajabu basi oa mmoja. Familia yetu ni wahanga wa kuoa Uswazi. Nyingi ya tabia zilizoelezewa hapa ni kweli. Na sasa hivi imeongezeka moja ya kufanya birthday (wenyewe wanaita besidei) na sherehe nyingine nyingi za kuiga wazungu kama babyshower. Ni ulimbukeni kwenda mbele. Vijembe vya zamani vya kwenye kanga siku hizi vimehamia kwenye Facebook na Insta.
 
Be thankful wazazi/ukoo wako wameiona dunia mapema na kujiongeza, of course pesa sio kila kitu kwa mtu kujitambua, wako we ye pesa kama majani lkn maisha yao ni ovyo hawajitambui, cha msingi kama umepata nafasi mungu akakufungulia dunia usiwadharau wenzio, haya ni maisha tu hata ujue kila kitu bado hakutokuwa na tofauti yoyote kama binaadamu.
 
Umemaliza Kila kitu
 
Mkitoka hapo mje na vijana wa uswahilini kama uzaramoni kichwani lazima ukute nywele zimeviringishwa kama Rasta
 
A word
 
Sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…