REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.
Ongezea mengine kama yapo.