Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

Vijora tunavaa na jeans tunapigilia, uzuri wetu watoto wa uswazi hakuna nguo inatukataa!!!

Tukiamua tunakua Mwajuma nichokonoe na tukitaka tunakuwa Nick Minaj yaani hakuna tunachoshindwa

Afu humu wote wa uswazi tofauti mitaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kama wanatudiss sana,ila uandishi wao utadhani J4 wa pale Kwa Mzee Mbonde,yaani wanajua kila kitu🤣
 
Mbona kama wanatudiss sana,ila uandishi wao utadhani J4 wa pale Kwa Mzee Mbonde,yaani wanajua kila kitu[emoji1787]

Huyu mleta uzi mrithi wa kiroboto kuna manzi wa vingunguti alimuelewa akampa za uso ndio kaamua kuja kutudiss na liuzi lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanaume wengi kina J lokole humu wasikutishe sisy
 
🤣🤣🤣Yaani unatunzwa urithi wewe!somo anakupa mbinu za asili kuondoa weusi wote around urithi,,,hebu fanya uje hata wiki we mtoto wa kishua
'kuondoa weusi wote around urithi'
We dada unanivunja mbavu ujue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Zamani ilikuaga Ile kuchezwa, saivi siioni.
Niliwahi shuhudia mtaani wamakonde wanawatoa ndani wali wao wamefunga vibwebwe tu kiunoni, kifuani wako waziii.

Hapo ngozi inashine balaa, wenyewe wanasema walikua wanasuguliwa na machicha ya nazi alooo
Vijana wa mtaani walikua wanafurahia Sana😂
 
IMG_3129.jpeg

😋😋😋
 
Saa mbovu sie tunawaza tukasasambue wapi leo na nikatunze nini niwakomeshe wachawi wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ole wake tumtunze halafu asirudishe fadhila,kitamkuta kilichomkuta Jacline Wolper asofadhila,wafadhilaka🤣🤣🤣🤣ni mwendo wa Mashalovu kudai chake
 
Ewaaaa 😍😍😋😋😋
We mbona tutakuteka tu,acha na chicken wings vinne elfu Tano,mara pizza elfu 45 Huo mzigo wote bukujero
'kuondoa weusi wote around urithi'
We dada unanivunja mbavu ujue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Zamani ilikuaga Ile kuchezwa, saivi siioni.
Niliwahi shuhudia mtaani wamakonde wanawatoa ndani wali wao wamefunga vibwebwe tu kiunoni, kifuani wako waziii.

Hapo ngozi inashine balaa, wenyewe wanasema walikua wanasuguliwa na machicha ya nazi alooo
Vijana wa mtaani walikua wanafurahia Sana😂
Eeeeeh zile Sasa siku hizi haziwi rasmi mambo ni mengi,Sasa watoto wa uswazi wanafundishwa kila uchao hizo mbinu ndio maana watunduwatundu sana
 
Na ole wake tumtunze halafu asirudishe fadhila,kitamkuta kilichomkuta Jacline Wolper asofadhila,wafadhilaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni mwendo wa Mashalovu kudai chake

Tunamfata na matarumbeta mbona, na ilo vagi lake ataliweza? Atatoa vyetu na visivyo vyetu nakwambia huku camera za mawingu tv zinamchukua mubashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo

1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.

Ongezea mengine kama yapo.
Hawazeeki haraka na karibu wote wana wowowo kubwa
 
Back
Top Bottom