Mwanamke wako ana mpango mbadala

Fa
Fact. Wanaume ndio wanaoteseka kimapenzi kuliko wanawake.

Wanawake wengi wana options nyingi kuliko sisi
 
Ndugu usiwe mbishiii... option za kwako ni za kujimaliza... kutumia hela kubwa etc... lkn za kwake ni za kutumia resource zinazoletwaa... jua kila mwanamke anavalue kulingna na engo yake aliyojiweka.
Ata kila mwanaume ana value yake kulingana na urefu wa mfuko wake.
Wee bwana sie huko mashuleni chuo kikuu makazini tumekutana na wanawake sura mbaya tako hana akitongozwa january 2020 mtongozo mwengune ni 2024 sasa huyo options anapata wapi?

Mwanamke mzuri pekee ndio anakiwa na options vile vile mwanaume mwenye hela ndio anakuwa na options. Mwanaune huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni unadhani mbususu utainea wapi kama sio kwenye porno🀣🀣🀣🀣

Mwanaune mwenye hela unadhani atagegeda mwanamke mbaya ah wapi. Only beautiful women have options bro
 
Bwanaa weee za watanzania huko si unajua kienyeji.. hizi za huku hazina utamu kama makuku ya kizungu.. karibu sana nafanya kazi hapa google mkuu πŸ˜…πŸ˜…
Kwa hiyo huko mzeya mnanyetuka tuu...ila sii nasikia huko mamtoni mlenda hamna sasa m atumia kilainishi gani? 🀣🀣🀣

Ah kumbe ni mzee wa binary code.
Evwana ebu nikuulize hivi kweli hao wamiliki hizi billion wanazosema wanazo wee umeziona au ndio wanatupiga fix tuu
 
Huku wananyetuka kwa kutuma silicon mkuu.. mie huwa naenda kwenye industry ya Anasbo hukoo.. $50 Hadi $150 ni baraka πŸ˜…πŸ˜…

Mie mzee wa Stream Cipher and Block Cipher.. Cryptography huku ulaya dili sanaa mwanawaneee.. Nina mchumba wangu wa kiarabu huyo πŸ˜…πŸ˜…
 
I like the mentality
 
Hizo professional lexicon umeniacha kwenye makoroboi🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…