Mwanamke wako ana mpango mbadala

Mkuu ulichoandika ni sahihi lakini suala la kuwa na mpango Kando pia Kama mwanaume ni uoga WA maisha.. Hapa unatakiwa ujipende wewe mwenyewe yaani jijali haswaa jinunulie vya gharama, hakikisha Tu hobby yako isiwe she . akitaka kusepa mpe na nauli . You gotta be strong man
 
Hatari sii mchezo 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mtarogwa nyieeee🀣🀣🀣🀣
Wenzenu wana njaa wanataka muwahudumie nyie mnataka kuwatosa 🀣🀣🀣🀣
 
Haukupaswa kumkataza, ungemwacha immediately.
 
Women are very ruthless when it comes to judging men based on their future. This is why we always urge fellow men to judge them harshly based on their past. Shida wanaume tuna-fail. Too many simps.
 
Unajionaga mwamba sana unapo Copy kule na kupaste translation. Uwe una acknowledge basi.🀣🀣 Tuliochallenge ile post unatupaa kazi kuja tena kukuchallenge wewe wakati mtoa post alikula Kona 🀣🀣
 
Wanaume wote mnaishi kwa kujihami. Ukweli ni kwamba, mambo yamebadilika. Hata wanaume wenye pesa wana tembea na wanawake wenye pesa. Nyie tu labda ndio hamjawa wajanja hhh
Hata mwanamke akiwa na hela zake atakua na matarajio ya kupata na za mwanaume pia, ndio maana ni ngumu sana kukuta mwanamke anadate na mwanaume ambae kamzidi kipato kwa sababu akifanya hivyo anapoteza haki ya kupata hela kutoka kwa mwanaume, kwanini mwanaume akupe hela wakati umemzidi kipato?.

It normal for a man to date down but women always date up.
 
Mtarogwa nyieeee🀣🀣🀣🀣
Wenzenu wana njaa wanataka muwahudumie nyie mnataka kuwatosa 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakubaliana na ww kwa 51%hata mm kuna kidume nasubiri kife nichukue mzigo
 
Women are very ruthless when it comes to judging men based on their future. This is why we always urge fellow men to judge them harshly based on their past. Shida wanaume tuna-fail. Too many simps.
Tupo kwenye kizazi ambacho kuna population kubwa ya vijana wa kiume ambao wamezidiwa akili na wanawake.

Mwanamke hata akiwa na past chafu au anatoka kwenye familia masikini bado ataweka standard za juu kwa mwanaume anaetaka kudate nae na anajua mwanaume uyo atajitokeza tu

Lakini mwambie kijana kuhusu kuoa bikira, atakuja na visingizio kibao utasikia hao bikira wanapatikana wapi. Halafu unakita kijana uyo uyo kuoa single mother au malaya mstaafu anaona ndio gentleman sijui real man.
 
Points to note.

Mahusiano yoyote kwa mwanaume ni LIABILITY

Kuwa na mademu wengi nikuongeza liabilities
Kuwa na mademu wengi ni ishara ya mafanikio wewe....maana yake unajua kutomber vizuri
 
Unajionaga mwamba sana unapo Copy kule na kupaste translation. Uwe una acknowledge basi.🀣🀣 Tuliochallenge ile post unatupaa kazi kuja tena kukuchallenge wewe wakati mtoa post alikula Kona 🀣🀣
Wanaume wanapojadiliana masuala yao wewe nenda kaangalie Dadaz, kule ndio kuna content za level ya akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…