City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
🤣🤣🤣Anaoshwa vizuri kuliko ulivyokuwa una muosha, Sasa akutafute wa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Anaoshwa vizuri kuliko ulivyokuwa una muosha, Sasa akutafute wa nini
Mwanamke huwa hapendi bali anaheshimu tu.Jitahidi uwe na mademu akina Ashura na Agnes wa kutosha kwenye ghala lako.Akisepa unabetua unaingiza kitu kipya uwanjaniTufanye nini ili wanawake zetu watupende na watutumikie kwa moyo mkunjufu bila kawaza hata chembe kuhusu kutuacha?
Nawasilisha.
Kumbe hata bikira feki watu mnazitambua!Una uhakika bikra halisi? 😹
Sasa kisa umemtoa bikra hata km hueleweki akuzingatie?? Pole sana kiongozi
Hatari sii mchezo 🤣🤣🤣🤣🤣Kuna manzi niliwahi date nae, Kipindi tuko kwenye mahusiano alikuwa anawasiliana na ex wake mpaka ikafikia kipindi nikamkataza. Huyu manzi tuko tumeachana nae mimi hanitafuti hata kidogo. Hii sometimes inakata stimu maana unajua ex wake uenda alikuwa na thamani kwake zaidi yako kabisa.
Mtarogwa nyieeee🤣🤣🤣🤣Mkuu ulichoandika ni sahihi lakini suala la kuwa na mpango Kando pia Kama mwanaume ni uoga WA maisha.. Hapa unatakiwa ujipende wewe mwenyewe yaani jijali haswaa jinunulie vya gharama, hakikisha Tu hobby yako isiwe she . akitaka kusepa mpe na nauli . You gotta be strong man
Haukupaswa kumkataza, ungemwacha immediately.Kuna manzi niliwahi date nae, Kipindi tuko kwenye mahusiano alikuwa anawasiliana na ex wake mpaka ikafikia kipindi nikamkataza. Huyu manzi tuko tumeachana nae mimi hanitafuti hata kidogo. Hii sometimes inakata stimu maana unajua ex wake uenda alikuwa na thamani kwake zaidi yako kabisa.
Women are very ruthless when it comes to judging men based on their future. This is why we always urge fellow men to judge them harshly based on their past. Shida wanaume tuna-fail. Too many simps.Niongezee tu hapo...
Wala huitaji kufeli maisha ili uachwe!
Kitu kimoja ambacho wanaume wengi hatujui ni kwamba, mwanamke hata umfanyie nini, kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha pindi akitokea mwanaume mwenye hela kuliko wewe! Wanawake wanavutiwa sana na hela kuliko kitu kingine chochote hapa duniani. Wewe simamia kucha, nyonya matundu, lamba, nk lakini akija aliekuzidi hela UNAACHWA!
Infact wanawake zetu hawa wengi hua wanaliwa sana na watu wenye hela, we sema kinachotusaidia ni kwamba wanaume wengi wenye hela hua sio wa kuchukua jumla, wao humega na kusepa! Hicho ndio kinachofanya huyo mwanamke bado upo nae mpaka leo.
Ila kiukweli kabisa akitokea tajiri fulani akaamua kukomaa na mkeo mwanangu unaachwa asubuhi na mapema ukiwa unajiona hivi.
Hata mwanamke akiwa na hela zake atakua na matarajio ya kupata na za mwanaume pia, ndio maana ni ngumu sana kukuta mwanamke anadate na mwanaume ambae kamzidi kipato kwa sababu akifanya hivyo anapoteza haki ya kupata hela kutoka kwa mwanaume, kwanini mwanaume akupe hela wakati umemzidi kipato?.Wanaume wote mnaishi kwa kujihami. Ukweli ni kwamba, mambo yamebadilika. Hata wanaume wenye pesa wana tembea na wanawake wenye pesa. Nyie tu labda ndio hamjawa wajanja hhh
Unaijua mkuu. Bikira origino njia inakua tight, ila feki itatoka damu tu lakini njia haibaniKumbe hata bikira feki watu mnazitambua!
😀😀😀😀Mtarogwa nyieeee🤣🤣🤣🤣
Wenzenu wana njaa wanataka muwahudumie nyie mnataka kuwatosa 🤣🤣🤣🤣
Vijana wanapuuzia red flag ili waonekane gentlemanHaukupaswa kumkataza, ungemwacha immediately.
Tupo kwenye kizazi ambacho kuna population kubwa ya vijana wa kiume ambao wamezidiwa akili na wanawake.Women are very ruthless when it comes to judging men based on their future. This is why we always urge fellow men to judge them harshly based on their past. Shida wanaume tuna-fail. Too many simps.
😀😀😀😀😀Nakubaliana na ww kwa 51%hata mm kuna kidume nasubiri kife nichukue mzigo
Kuwa na mademu wengi ni ishara ya mafanikio wewe....maana yake unajua kutomber vizuriPoints to note.
Mahusiano yoyote kwa mwanaume ni LIABILITY
Kuwa na mademu wengi nikuongeza liabilities
Wanaume wanapojadiliana masuala yao wewe nenda kaangalie Dadaz, kule ndio kuna content za level ya akili yakoUnajionaga mwamba sana unapo Copy kule na kupaste translation. Uwe una acknowledge basi.🤣🤣 Tuliochallenge ile post unatupaa kazi kuja tena kukuchallenge wewe wakati mtoa post alikula Kona 🤣🤣