Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu..
Mwanaume ni kichwa
Mwanaume ni mfalm...
Wewe ni simba gani... nakwambia endelea, Kuna waya utakanyaga hutasahau.. sikutishi nakwambia, wewe sio wa kushauri wewe ni wa hospitali upate matibabu... nipe namba za dem wako kama nakutisha.

Upige mtoto wa watu kwasabu ya mapenzi? Natamani sana ma Narcist kama nyie.
 
Mim nafkiri haya ulikuwa unayajua b4, why uliamua kuwa na mwanamke ??

Sorry boss! unaposema wanawake wawekwe kwenye majanga i.e ukame, njaa, tetemeko, corona etc pia ni kumzalilisha mama yako pamoja na mama wengine, ujinga wa shemej yetu usipelekee hadi wakazalilka wanawake wengine ambao ni wazaz wetu pia.
 
kaing,oe meno kenge hio.tukonyumayako mkuu 😕😕 haiwezekani akuasi namnahio.
 

Unajua maana ya mwanamke wako? Ni wako akiwa kwako tu, akiwa anatoka kazini au kaenda nje ya nyumba yako na wewe hauko nae sio wako huyo.
 
subiri akanyweshwe dawa.iwefundisho kwaninyi wasaliti wote.
 
Wakuu punguzeni tafadhal thd za namna hii zinanifanya niwe na chuki kali sana kuwaelekea wanawake...
 
Mwisho.

Ili ujijue kama wew n mwanaume kweli na mkakamavu ni lazma uwe unajikontroo pindi yanapotokea matatzo madogo kama haya.

Pikipiki huuzwa na element coz ilijulkana kuna ajal.

Boat huuzwa na life jacket ilijulikna kma kuna ajali.

Sheli kuna fitre extinguisher kujikinga na ajali.

Kwenye ndege kuna parachute pia kujikinga na ajali.

[emoji419]Sasa wew ulizama kwenye kina kirefu cha mapenzi bila life jacket HAUKUJUA KAMA KUNA AJALI..?? Kwahy ulizani kwamba hutosalitiwa wakati n jambo amblo halipingiki??

Ok ngoja nikupe pole coz nilisahau kkpa b4.., ila kaa utambue kwamba unapoingia kwenye mapenzi "Kusalitiwa n inevitable" the only thing that you have to do... Ni kujindaa na maumivu.
 
Reactions: _ly
Tulishawaonya sana juu ya Distance Relationship.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Yani nikiona tu hii kauli ya "Nilimpa kila kitu."
Najua hapa mtu kala za uso, yote kwa yote kachukue kilicho chako achana na uyo mwanamke.
Wazo la kumpiga linaweza kukutokea puani, hawa watu sikuhizi wanapewa sana kipaumbele kila mahali anaweza kwenda polisi akaregeza sauti ukaishia nyuma ya nondo.
 
Kwani Love bite ni nini?

Nisijifanye mjuaji buree 🤷
 
What can I say!!!..

Fvck love..acha nijipende mwenyewe kwanza for the mean time
 
Love bite ndo Nini? , Ni bites kama hizi tunazonunua na kutafuna mtaani? , Au ni Nini?
 
Huyo aliekwambia hana Nia njema na wewe. Kahakikishaje kuwa ni love bite?
Kama huna evidence zaid ya hiyo taarifa yake usichukue hatua. Au omb ruhusa job uende kabla haijafutika upate evidence kamili.
Na kwa nini umpigie? Hivi Karne hii ni ya kutatua matatizo kwa vipigo? Ukoona umemshindwa achana naye usitafute matatizo.
 
FANYA HEKIMA...USIENDE DAR...BAKI DOM.
N.B.
usimpigie simu wala usipokee simu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…