Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Wewe ni simba gani... nakwambia endelea, Kuna waya utakanyaga hutasahau.. sikutishi nakwambia, wewe sio wa kushauri wewe ni wa hospitali upate matibabu... nipe namba za dem wako kama nakutisha.Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu..
Mwanaume ni kichwa
Mwanaume ni mfalm...
Upige mtoto wa watu kwasabu ya mapenzi? Natamani sana ma Narcist kama nyie.