Hasira..HasaraMkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
Angalia usije pelekwa lupango. Hasira hasaraMkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
Nani kakudanganya kumpiga mwanamke ndio uwanaume?Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.
Mwanaume dhaifu humpiga mwanamke.Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.
Nilikuwa na mkeoJana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.
🤣🤣We ndo umemzagamua hadi ukaacha alama shingoni?Nilikuwa na mkeo
Huu ni utoto, za kuambiwa changanya na za kwako. Kama una wivu wa hivyo hata mwingine utakaempata itakuwa hivi hivi. Yani unajazwa maneno uko umbali wa 450km huna ushahidi wowote na wewe unajaa hasira!!!. Au hii ni stori umeamua tu kuitunga na kuiweka hapa? hopeful wewe mwenyewe ukichunguzwa una madhaifu tu mengi hata zaidi ya huyo mpenzi wako ambaye unaaminishwa kuwa amekusaliti. Fikiri kabla hujatenda. Kumbuka hasira hasara.Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.
Huko nyuma yake unafanya nn??kaing,oe meno kenge hio.tukonyumayako mkuu [emoji53][emoji53] haiwezekani akuasi namnahio.