Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
Hasira..Hasara
 
Angalia usije pelekwa lupango. Hasira hasara
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Nani kakudanganya kumpiga mwanamke ndio uwanaume?

Uwanaume ni kuwa na uwezo wa ku control hasira, kusepa kwa amani na kumwachia kila kitu ulichomnunulia.

Ukiweza kufanyahivyo basi utakuwa umemuachia maumivu makubwa sana kuliko hata ungempiga
 
USHAURI WA AKILI NI HUU

Usiwe limbukeni mwache kisayansi ma tecknologia mblok kwenye maisha yako na pia mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema kabla hujamuoa mwachie kila kitu na utakuja pata mpenzi mpya mwenye kujali uhusiano wenu inauma ila usimguse mtu hata ila mwambie kwenye simu na ajue tu kuwa uhusiano umeisha,ila mwambie huyo dada akupe picha ya love bite,ili ueleweke kwa familia. Basi ishi kwa maombi
 
Acheni ushauri wa et Jamaal afanye uchunguzi hapo ni kuroga huyo fara Yani utunze toto la mtu arafu litiwe na mwingine khaaa ebu imagine Ile miguno anayotoa kwako kuna mwingine anakula bila hata sent tano ya bodaboda......broo fanya hicho nitakuzamini police
 
Jaribu kuelewa hii formula " Wenye muda hawana pesa na wenye pesa hawana muda". Ukielewa hapa inabdi uwe unafanya assumption tu ukiwa mbali cha msingi usipatwe na msongo wa mawazo. Maana hutaweza ku balance hiyo equation.

Ova
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Mwanaume dhaifu humpiga mwanamke.
Mwanaume shupavu ataachana nae na kuendelea na maisha yake.
 
We jamaa sio kila mtu anapenda mahusiano yenu, usipende kusikiliza maneno ya pembeni, iyo love bite ungeiona ndio ungekuwa na evidence, sasa angalia usije ukaua mtoto wa watu, afu kingine uyo aliyekupa uo umbea vp kwanza ameolewa? Asije akawa ananyatia ndoa mdo mdo kwako, za kuambiwa changanya na zako
 
🤣🤣🤣Jamaa katombeewah
Nomah Sana
Unafuga Bata lazima walile🤣🤣🤣
Poleeeh
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Nilikuwa na mkeo
 
Unakuwa kama fala bhana. Kwanini usiombe ushahidi wa picha? Acha ujinga pumbafu wewe. Kwanini usingemwambia huyo cha umbea ampige picha uone
 
Kuanzia leo ujifunze kupenda hela sio mwanamke,umepata PhD ya heartbreak with honours. Umpige ili iwaje? Mbususu ya kwake anaweza mpea atakaye kwa raha zake chief.
Next time cheat on your woman first hata ikitokea nae ame cheat inakua both teams zime score🤗. Hawa viumbe sio wa kuwachukulia serious au kuwapa umuhimu kama pesa.
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Huu ni utoto, za kuambiwa changanya na za kwako. Kama una wivu wa hivyo hata mwingine utakaempata itakuwa hivi hivi. Yani unajazwa maneno uko umbali wa 450km huna ushahidi wowote na wewe unajaa hasira!!!. Au hii ni stori umeamua tu kuitunga na kuiweka hapa? hopeful wewe mwenyewe ukichunguzwa una madhaifu tu mengi hata zaidi ya huyo mpenzi wako ambaye unaaminishwa kuwa amekusaliti. Fikiri kabla hujatenda. Kumbuka hasira hasara.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na kifua mtoto wa kiume,chunguza taratibuu alitakiwa amseme mwenzake sio kukupa wewe umbea .Shauri yako wengine hawapendi tu mambo yawaendee.
 
Back
Top Bottom