Usituletee wasaliti nyumbani mangi😀, kwani kuukye taaghi ingai?Kwa hiyo mm ndo nivumilie mwanamke wangu apigwe love bite nipotezee?
Kama aliamua kusaliti si angesaliti yaani ndo mpaka ang'atwe shingoni?
Huku ni kunikosea heshima na adabu na huu ni utovu mkubwa wa nidhamu ..
Aisee lazima apate alichostahili kupatiwa ..
Hadi hapa kashavuruga Ratiba yangu ya kwenda Machame December mana ndo nilikua naenda kumtambulisha.
Umesahau nilikwambia kuwa ilikua ni ndoto tu. Shauri yakoJana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.
Mkuu pole sanaaaUkweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima mwenzangu.. Kumbe uhuru niliompa malipo si hayA .. kwani nyie wanawake mnatakaga nn?
Unavomsaliti mchumba wako unakua unawaza nn ?
Tukiua tunaonekana sisi ndo wakorofi ila wanawake wanatakiwa waingizwe kwenye listi ya vitu vinavoleta majanga duniani..
Ukiacahana na ukame, mafuriko,tsunami,vita mate matetemeko hivyo ndo vitu vinaleta majanga makubwa duniani inabdi wanawake nao watangazwe ni chanzo kingine cha majanga...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hao watu wa nne inakuajeKuna mdau wa if alisema ili mapenzi ya mbali yadumu inabidi wote wanne muwe serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787] take it easy.
Pole Mangi ...siku hizi hakuna mwaminifu, we angalia kama anafaa kukuzalia watoto mpige mimba watoto ndo watawatambulisha huko ukweni, swala la kuoa linahitaji kujiandaa kiakili zaidi coz kuna mengi sana yanayokatisha tamaa huko kwenye ndoaKwa hiyo mm ndo nivumilie mwanamke wangu apigwe love bite nipotezee?
Kama aliamua kusaliti si angesaliti yaani ndo mpaka ang'atwe shingoni?
Huku ni kunikosea heshima na adabu na huu ni utovu mkubwa wa nidhamu ..
Aisee lazima apate alichostahili kupatiwa ..
Hadi hapa kashavuruga Ratiba yangu ya kwenda Machame December mana ndo nilikua naenda kumtambulisha.
Kutokupiga na kutopokea kunasaidia nini?FANYA HEKIMA...USIENDE DAR...BAKI DOM.
N.B.
usimpigie simu wala usipokee simu yake.
Kama hujui wanawake wanaongoza kwakuoneana wivu basi nenda kichwakichwa! Hata mama yako mzazi anaweza kuongea uongo kuhusu mwali wake kama hampendi! Jiongeze!Alie niambia ni dada mtu mzima tunaheshimiana sana na ni wale wadada swala 5.. kwa kweli hawez kunidanganya .
Na nia yake ilikua ni njema sabab si kitu kizur kimaadili kupigana love bite watu wazima . Na haileti heshima kwa wafanya kazi na wateja wao wanao wahudumia ..nia yake ilikua ni njema alijua mm ndo nimefanya vile ila ukweli si mm niliefanya hivo..
Pole sana Mkuu. Pole sana.... ChangamotoJana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?