Ukweli mm si mtu wa kumfatilia mwanamke wala kumbana .Na wala sitakagi kujipa mawazo ya kijinga sabab si leo nimeanza nae mahusiano ya Long distance nimekaa Finland kuanzia 2019 hadi niliporudi mwaka huu 2023 January nikakuta tumehamishiwa dodoma ..Mimi ni mtu mzima siwezi kumfatilia mtu mzima mwenzangu.. Kumbe uhuru niliompa malipo si hayA .. kwani nyie wanawake mnatakaga nn?
Unavomsaliti mchumba wako unakua unawaza nn ?
Tukiua tunaonekana sisi ndo wakorofi ila wanawake wanatakiwa waingizwe kwenye listi ya vitu vinavoleta majanga duniani..
Ukiacahana na ukame, mafuriko,tsunami,vita mate matetemeko hivyo ndo vitu vinaleta majanga makubwa duniani inabdi wanawake nao watangazwe ni chanzo kingine cha majanga...