Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Don't jump into conclusion inawezekana amepitiwa na mdudu ikaonekana kama love bite umeshaona Nairobi fly wakimpitia mtu??
 
Afu mi nimejifunza wanawake ukitaka akupende usimchukulie serious sana, nenda naye kimashara tu
Ni kweli! Sasa jamaa hadi anamlipia dem kodi aisee😂😂 Wanaume tunajitoaga ufahamu sana! Kama mtu ameamua kupanga means anajimudi kujilipia kodi kwanini umlipie??
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
Kwanini huyo dada akupigie simu? Lengo ni kuvunja uchumba wenu?

Na alichokikusudia kinakwenda kutekelezeka.
 
Lete mrejesho ulimkutaje?.

Muda mwingine jipe muda wa kutafakari. Mapenzi yasichukue sehemu kubwa ya maisha yako. Ndio hapo vijana wanajitoa uhai au kutoa uhai wa mwingine ksbb ya mapenzi. Wengi wameharibu future zao sababu ya mapenzi.

Vijana jifunzeni kuhusiana na hili swala la mapenzi. Kwa nini usijifikirie wewe na maisha yako yote badala yake uteseke na mtu ambaye hujazaliwa nae?.

Bahati mbaya kupiga sio suruhisho,zaidi itakuongezea matatizo. Hakuna kitu kizuri kama kumuacha tu aende kwa amani. Sitisha mahusiano tu kwa amani,hata iwe umeumizwa wewe,usilipize. Ksbb kulipiza kisasi ndio mara nyingi inatokea inapitiliza inazaa mauaji ksbb ya hasira.

Dhibiti hasira,huyo mwenzi wako mwili ni wake. Cha muhimu ukikutana na hali tofauti achana nae tu kwa amani ili kujiweka salama wewe. Na kawaida ukimuacha kwa amani,na ukamsahau kabisa atapitia maumivu tu. MUNGU anajibu hapa hapa duniani.
 
Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
Usifanye hasira kwanza nenda kaone mwenyewe inawezekana kaumwa na mmbu, si unajuwa masika haya.
 
Fala wewe, mjinga Mmoja, Umeshatombewaaa, Imagine jamaaa linamtombaaa linammwagia shahawa, huku linamnyonya shingon ,Demu wako analiambiaz Bwanaaa Selee, utaniachia Love bites banaa .lijamaaa linanyonya tuu.

Ushauri wangu.

Chukua Kila kitu ulichompa Kwa Pesa yako.

Kisha achana naye, Wala usimpige.
 
Lawama zote ziwaendee usAID kwa chanjo . Wanaume tumebaki wa kuhesabu sana. Mimi na jamaa hawa......
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom