[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaan mwanaume akikuchoka anakutaftia sababu hivi miaka yote hujaona miguu yake ilivyokonda uione leo basi muache katafute mwenye miguu ya beer
Kwa kweli nimeshindwa kujizuia kucheka.Mwenzo anaomba msaada we unamcheka[emoji3]
Rafiki kuna mambo dunia hii duuh.Watu wa aina yako ndiyo mnasababisha wanawake watumie madawa ya kunenepesha maumbile. Kipindi unamuoa hukuiona? Au ulioa chura? Ridhika naye na uwe na amani kwa jinsi alivyo.
Kipindi Mungu anamuumba alijua kabisa yeye hahitaji miguu minene bali hiyo myembamba ndiyo saizi yake. Sasa wewe Unataka kimkosoa Mungu?
Ndiyo najiuliza kipindi anamuoa hakuiona hiyo miguu?Rafiki kuna mambo dunia hii duuh.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mbona hata mimi nna ngoko[emoji23][emoji23]
tena nna amani kabisa
navaaga kimini ,tungoko Twangu natuachaga nje tupate hewa....
natetemesha tuchura twangu sina Khabari!!!
Jiaminini tu miguu ikiwa ivo labda mkafanye surgery ,hainenepi mm nanenepa kwingine sio miguu.....
kama hamuipendi awe anavaa mavazi marefu, na suruali...
mm binafsi navaaga sana mavazi marefu kama mzanzibar na labda suruali ndefu, sketi za magotini navaa mara chache sana nikiamua....
kwanza nani aangalie ngoko wakati watu wote macho skuizi kwa chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utawaweza basi mie nshawazowea hivyo hawanipagi shida hata kidogo.Ndiyo najiuliza kipindi anamuoa hakuiona hiyo miguu?