Mwanamke wangu anamiguu iliyokonda

Mwanamke wangu anamiguu iliyokonda

Pole mkuu.

Zipo njia unaweza kuongeza unene wa miguu.

Hii inawezekana kwa kufanya mazoezi yanayojenga misuli kwenye miguu.

Mtie moyo mwenzako afanye yafuatayo

1. Ale vyakula vya protein zaidi.

2. Aache kabisa kula processed food kwasababu kwenye huu ushauri wangu inajumuisha workout sasa vyakula processed vinaleta uchovu. Ukila atashindwa mazoezi.

3. Fanya squats. Squat + box jumping. Pia awe anakimbia sehemu yenye mwinuko. Inasaidia kutengeneza muscles kwenye miguu

4. Ajitahidi kuvaa nguo ndefu.
 
Mkuu naomba ridhika na mkeo huyo kaumbwa kama watu wengine tuu wala usijisikie vibaya
 
Dawa ipo mkuu. Inaitwa TAFADHALI USIANGALIE MIGUU YAKE.
 
Yaan mwanaume akikuchoka anakutaftia sababu hivi miaka yote hujaona miguu yake ilivyokonda uione leo basi muache katafute mwenye miguu ya beer
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mwenzo anaomba msaada we unamcheka[emoji3]
Kwa kweli nimeshindwa kujizuia kucheka.
Kikubwa jamaa anatakiwa ajue kuwa tunatofautiana kimaumbile, na hayo ndio maumbile ya mkewe kwa hiyo haina haja ya kuchukia jambo ambalo haliwezi kufanya hayo maumbile yabadilike
 
Mvalishe masoks mazito ionekane minene halafu akae suruali tu
 
Hahaaa. Aiseee. Inatakiwa ujue tu hakuna aliyejiumba na huwa naamini sana ule usemi usemao "aso hili ana lile" huenda ikawa anacho kitu kingine kilicho bora zaidi ambacho amebarikiwa.
 
Watu wa aina yako ndiyo mnasababisha wanawake watumie madawa ya kunenepesha maumbile. Kipindi unamuoa hukuiona? Au ulioa chura? Ridhika naye na uwe na amani kwa jinsi alivyo.
Kipindi Mungu anamuumba alijua kabisa yeye hahitaji miguu minene bali hiyo myembamba ndiyo saizi yake. Sasa wewe Unataka kimkosoa Mungu?
Rafiki kuna mambo dunia hii duuh.
 
Mbona hata mimi nna ngoko[emoji23][emoji23]
tena nna amani kabisa
navaaga kimini ,tungoko Twangu natuachaga nje tupate hewa....

natetemesha tuchura twangu sina Khabari!!!
Jiaminini tu miguu ikiwa ivo labda mkafanye surgery ,hainenepi mm nanenepa kwingine sio miguu.....

kama hamuipendi awe anavaa mavazi marefu, na suruali...
mm binafsi navaaga sana mavazi marefu kama mzanzibar na labda suruali ndefu, sketi za magotini navaa mara chache sana nikiamua....
kwanza nani aangalie ngoko wakati watu wote macho skuizi kwa chura
 
Kuna siku huwa najiona nimeamka na hasira au labda akili haiko sawa, hivi mke wako uliyemuoa bila kulazimishwa na kila siku anakuandalia chakula, maji ya kuoga (mahitaji ya bafuni) na anakutandikia kitanda then unakuja kumwanika mitandaoni. Mwanamke ukiwa na mwanaume wa dizaini hii bora ulipe sumu life utatubu kunako safari huko
 
Mbona hata mimi nna ngoko[emoji23][emoji23]
tena nna amani kabisa
navaaga kimini ,tungoko Twangu natuachaga nje tupate hewa....

natetemesha tuchura twangu sina Khabari!!!
Jiaminini tu miguu ikiwa ivo labda mkafanye surgery ,hainenepi mm nanenepa kwingine sio miguu.....

kama hamuipendi awe anavaa mavazi marefu, na suruali...
mm binafsi navaaga sana mavazi marefu kama mzanzibar na labda suruali ndefu, sketi za magotini navaa mara chache sana nikiamua....
kwanza nani aangalie ngoko wakati watu wote macho skuizi kwa chura
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Kujiamini ndio kila kitu mwaya.
 
Back
Top Bottom