Mwanamke wangu anamiguu iliyokonda

Pole ulikuwa unawahi nini kilichokufanya mpaka hukuangalia hiyo miguu yake kabla hujamuoa na umegundua saa hizi??au alikupuliazia nini!hahaaa...
 
WAKATI UNAMTONGOZA ULITUAMBIA TUKUCHAGULIE! ACHA UJINGA PAMBANA NA HALI YAKO.MIGUU NDIO NINI PAPUCHI YAKE IPOJE KWANI!! TUKUSHAURI KABISA KWANI UTATUSUMBUA BAADAYE
 
Acha kupenda sifa wewe...tunaoa akili sio miguu
 
Shida yake miguu,au nani,we uzuri waaa....
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ulitongoza, ukachumbia, ukatoa mahali, ukaoa.... huko kote ulikuwa hujaiona hiyo miguu?
Alipewa papuchi siku ya ndoa labda mkuu...pia inaelekea huwa hapendi mademu wanaovaa sketi eti anawaona kama washamba flani hivi na matokeo yake amebambikwa
 
Kama hauko comfortable nae. Muache hujampenda.
Ungempenda wala hata usingeona hiyo miguu ni mapungufu.
Unabishana na mungu.
Mpeleke akafanyiwe plastic surgery aongezwe vinyama basi .lakini hela unayo
Alioa kwa shinikizo...hajui kwamba kuna watu wamewakuta waume ama wake zao wakiwa wamejazia lakini ukichukua picha zao za miaka 15 iliyopita walikuwa vimbaumbau...huyo hajui anachokitaka nini kwa mwanamke na hapo akimwacha alafu akampata jamaa mwingine shape ya bidada ikabadirika mpaka miguu atakuwa anatokwa na machozi
 
Kaka unatuchanganya huyo ni mkeo sio mchepuko, kabla ya kumuoa iliridhika naye kila idara how comes sasa ndio unaona miguu miembamba, beba msalaba wako
 
Tuache utani kuna miguu mingine[emoji3] [emoji3] [emoji3] . Mimi kuna demu nilimtaman kipindi my wife akiwa mjamzito. Basi nkajitoa ufaham kumtokea kwa bahati mbaya au nzuri hatukufanikiwa kutimiza lengo, kuna ndezi mmoja alitibua.
Ila sasa hivi huwa nikimwangalia huyo demu najiuliza nini kilinivutia kwake maana ana tu miguu kama fito, mapaja yake mawili ndo mguu 1 wa wife dah nikimcompare na wife nabaki kujidharau mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…