Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Kawaida tu mkuu
Wala sio kawaida mguu matata mleta uzi anataka guu kama hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida tu mkuu
Dodosha basi hata kanamba mwanike ..mh watoto wadarisalamaa yekhiii!!
Basi sawa mkuuWala sio kawaida mguu matata mleta uzi anataka guu kama hili
0123456789Dodosha basi hata kanamba mwanike ..mh watoto wadarisalamaa yekhiii!!
0123456789
ngoja nigeuze nikutwangie najia ulivyo nifanyia mimi kmpoteza mkuu nokia0123456789
tatizo lenu mnatafuta vitoto visivyo na heshima ya ndoa mimi simoAfu kwa style hii mkiambiwa mna vbamia mnanuna huhuhuh
Kweli kabisa,ameshamchoka sio bureYaan mwanaume akikuchoka anakutaftia sababu hivi miaka yote hujaona miguu yake ilivyokonda uione leo basi muache katafute mwenye miguu ya beer
Huo ndio ukweli mkuu au ukichunguza kapata mwanamke ana miguu ya beerKweli kabisa,ameshamchoka sio bure
Sisi Tunakupa Ushauri Tuu.Habarini za majukumu wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mke wangu anamiguu iliyokonda sana (hana supu).
Maumbile yake siyo mwembamba ila ni miguu tu imenyauka nyauka kama fito. Huwa inanikosesha amani sijifeel comfortable nikiwa nae hasa tukiongozana njiani.
KAMA KUNAUWEZEKANO WA DAWA AU HATA USHAURI NISAIDIENI WAKUU INANIUMA SANA MKE WANGU KUWA HIVYO.
Natanguliza shukrani
Kipindi kile cha nyyeqe kuwa juu huwa si rahisi kuona. Ikishaisha ndio unaona kumbe nilibeba sivyo.Yaan mwanaume akikuchoka anakutaftia sababu hivi miaka yote hujaona miguu yake ilivyokonda uione leo basi muache katafute mwenye miguu ya beer
Hebu tufafanulie,mwanzoni hiyo miguu ilikuwa minene?Habarini za majukumu wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mke wangu anamiguu iliyokonda sana (hana supu).
Maumbile yake siyo mwembamba ila ni miguu tu imenyauka nyauka kama fito. Huwa inanikosesha amani sijifeel comfortable nikiwa nae hasa tukiongozana njiani.
KAMA KUNAUWEZEKANO WA DAWA AU HATA USHAURI NISAIDIENI WAKUU INANIUMA SANA MKE WANGU KUWA HIVYO.
Natanguliza shukrani
Mpe supu ya kongoro kutwa mara mbili asubuhi na kabla hajalala. Baada ya wiki tatu njoo utueleze mkuu.Habarini za majukumu wakuu,