Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,076 Reaction score 5,483 Jan 13, 2025 Thread starter #201 Bosi kitambi Meneja said: Nimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu? Click to expand... Kaka wapo humu humu mtaani
Bosi kitambi Meneja said: Nimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu? Click to expand... Kaka wapo humu humu mtaani
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jan 14, 2025 #202 Aisee 😂
jaap JF-Expert Member Joined Dec 25, 2018 Posts 4,888 Reaction score 6,459 Jan 14, 2025 #203 Bosi kitambi Meneja said: Nimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu? Click to expand... Wanajua Kwenda China ni sawa kutoka Bonyokwa mpaka kariakoo nauli kwenda na kurudi elf mbili.
Bosi kitambi Meneja said: Nimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu? Click to expand... Wanajua Kwenda China ni sawa kutoka Bonyokwa mpaka kariakoo nauli kwenda na kurudi elf mbili.
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,076 Reaction score 5,483 Jan 14, 2025 Thread starter #204 jaap said: Wanajua Kwenda China ni sawa kutoka Bonyokwa mpaka kariakoo nauli kwenda na kurudi elf mbili. Click to expand... Hahahah😂😂
jaap said: Wanajua Kwenda China ni sawa kutoka Bonyokwa mpaka kariakoo nauli kwenda na kurudi elf mbili. Click to expand... Hahahah😂😂
A al1 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 264 Reaction score 503 Jan 14, 2025 #205 Mkuu hayo maji ya shingo huwezi kuogelea
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,076 Reaction score 5,483 Jan 14, 2025 Thread starter #206 al1 said: Mkuu hayo maji ya shingo huwezi kuogelea Click to expand... Hakika mkuu nimesepa mapema tu
Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 1,412 Reaction score 1,669 Jan 14, 2025 #207 Hayo ndo maisha aliyozoea.