Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #201
Kaka wapo humu humu mtaaniNimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka wapo humu humu mtaaniNimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu?
Wanajua Kwenda China ni sawa kutoka Bonyokwa mpaka kariakoo nauli kwenda na kurudi elf mbili.Nimecheka mpaka mbavu zimeuma eti 500k akachukue mzigo China kuna biashara kabuni.Hawa mademu vibubu kiasi hiki mnatoaga wapi mkuu?
Hahahah😂😂Wanajua Kwenda China ni sawa kutoka Bonyokwa mpaka kariakoo nauli kwenda na kurudi elf mbili.
Hakika mkuu nimesepa mapema tuMkuu hayo maji ya shingo huwezi kuogelea