Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Beat down 👇👇👇 that girlAcha tu sio poa yani
Piga chini huyo tax collector
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beat down 👇👇👇 that girlAcha tu sio poa yani
Mwanaume kama huna hela mwanamke anakuona tà kataka tuu.Wanaume kajamba nani kwa kupenda kulalamika hamjambo 🙌🙌
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna katoto kakipare nilikagonga mara 2, hiyo mara ya pili tulivyomaliza wakati kanataka kuondoka kakanipiga mzinga wa laki2, nilikachana hapohapo nikakauliza kwa hio umeamua kuniuzia kwa lakilaki kila tukikutana?Nyie ndo wale mlioingia mahusiano Kwa gia ya kuhonga vijiwe vinawaambia et huwez pata mwanamke mpaka uhonge ndo maana kimekupata kitu kizito
Hajakupenda kapenda harufu ya walet yako na wewe inaonekana ni mtoaj mzur hongera
Mkuu sasa Mwanamke kama huyu level yake ni Mwanaume wa kipato gani, kama Mwanaume mwenye pesa zake hawezi kuingia kwenye mahusiano na Mwanamke mwenye kuomba vitu vidogo vidogo.Muwe mnatongoza level zenu huyo sio level yako
Mkuu wanakamtindo ka kubeti na wewe ungeingia kwenye mfumo ungeliwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna katoto kakipare nilikagonga mara 2, hiyo mara pili tulivyomaliza wakati kanataka kuondoka kakanipiga mzinga wa laki2, nilikachana hapohapo nikakauliza kwa hio umeamua kuniuzia kwa lakilaki kila tukikutana?
Nikakaambia kama kanaona laki ni pesa ndogo kaende Sinza au Buguruni kakauze kaone hio laki kataipata kwa siku ngapi, kalinuna balaa kakadai sikaheshimu nimekafananisha na malaya, kalinikaushia wiki mbili hakapigi simu wala hakatumi sms na mimi nikakalia buyu.
Hasira zake zilipoisha kenyewe kakanitafuta kanadai kamenimiss na kuanza kujilalamisha kua mimi sikapendi.
Hivi viumbe tunatakiwa tuishi navyo kwa akili tu, ukijifanya kuendekeza sana hisia inakula kwako.
Mimi sinaga ushamba huo, binafsi ninajijua mimi nimekamilika niko full package, nikiamua kutongoza zile pisi kali haswa kwa siku siwezi kukosa pisi 2 au 3 hapo achana na zile pisi zinazonishobokea zenyewe.Mkuu wanakamtindo ka kubeti na wewe ungeingia kwenye mfumo ungeliwa.
Ila kuna watu wanasema kuwa kuna exception ya hivi, sio kila mwanamke anaemuomba hela mwanaume mwanzoni mwa mahusiano ni kuwa hampendi huyo mwanaume 🤔Kunà wakati inakuwa hivyo. Mtu humpendi na umekosa sababu ya kumuacha unampiga mizinga ya ajabu ajabu kama hiyo uliyopigwa wewe akijua kabisa huwezi kumpa utamuona omba omba na kuachana nae.
Ni kweli.Ila kuna watu wanasema kuwa kuna exception ya hivi, sio kila mwanamke anaemuomba hela mwanaume mwanzoni mwa mahusiano ni kuwa hampendi huyo mwanaume 🤔
Demi
Ila kwa mm nilichoona kuna wadada wengine wanakupiga mizinga, like wanakua Wana hisia na wewe ila hawana hisia na wewe kihiiivyo, utakuta hisia zake kwako ni 51% hawa ndo wanaishia kuomba hela ndogo ndogo kila mara, huku wakitegemea uwaoe/uwe nao kwenye mahusiano DemiNi kweli.
Lakini huyu mwenzetu unaona kabisa kwamba ana nia ya kukomoa. Huwezi toa mahitaji yako kihivyo tena bila adabu
Mwanamke anaekupenda kamwe hawezi kukupiga vizinga, akiwa amekwama anaweza kukushirikisha kwa kukuelezea tu jinsi alivyokwama na kukuacha mwenyewe uangalie utamsaidia vipi pasi na kukupangia kiwango cha kumsaidia.Ila kwa mm nilichoona kuna wadada wengine wanakupiga mizinga, like wanakua Wana hisia na wewe ila hawana hisia na wewe kihiiivyo, utakuta hisia zake kwako ni 51% hawa ndo wanaishia kuomba hela ndogo ndogo kila mara, huku wakitegemea uwaoe/uwe nao kwenye mahusiano Demi
Kweli kabisa mkuuMwanamke anaekupenda kamwe hawezi kukupiga vizinga, akiwa amekwama anaweza kukushirikisha kwa kukuelezea tu jinsi alivyokwama na kukuacha mwenyewe uangalie utamsaidia vipi pasi na kukupangia kiwango cha kumsaidia.
Hawa wote wanaoomba leo hiki kesho kile na kukupangia kabisa kiasi cha pesa ni kausha damu unatakiwa upige chini haraka.
Kweli kabisa huyu wa kwangu nadhani ni mmoja waoIla kwa mm nilichoona kuna wadada wengine wanakupiga mizinga, like wanakua Wana hisia na wewe ila hawana hisia na wewe kihiiivyo, utakuta hisia zake kwako ni 51% hawa ndo wanaishia kuomba hela ndogo ndogo kila mara, huku wakitegemea uwaoe/uwe nao kwenye mahusiano Demi
Aiseee inasikitisha sanaNi kweli.
Lakini huyu mwenzetu unaona kabisa kwamba ana nia ya kukomoa. Huwezi toa mahitaji yako kihivyo tena bila adabu
Sikujua kama yupo hivi mkuuWakati unamtongoza ulikuwa unategemea nini?