Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Tutakutana mahakamani!
 
Kesi la shambulio na kudhuru mwanamke wako tena kisa usaliti wa mapenz Linakwepa kirahisi sana.

hili hata mahakaman halifiki.

Ni tofauti na unyanyasaji wa Kijinsia.
Jidanganye! Kila siku mama gwajima anasema ukipigwa na mumeo nenda polisi hadi namba yake ametupa sembuse huyu anampiga mtu hajamuoa wala hajamtolea mahari.
 
Tuagize mjinga sana 😃
 
Pole sana kaka
 
Bado unaendelea kulala naye duh!
Mkuu una roho ngumu sana au unaishi kwake mwanamke?
Pole sana kwa yote
 
Jidanganye! Kila siku mama gwajima anasema ukipigwa na mumeo nenda polisi hadi namba yake ametupa sembuse huyu anampiga mtu hajamuoa wala hajamtolea mahari.
Wanaangalia sababu.

Ni tofaut sana na unyanyasaji wa kijinsia. Hiyo unayoongelea ni unyanyasaji wa kijinsia. Wakat case study hii ni usaliti na kesi ya kudhuru mtu.

Itatritiwa kama kesi zile za mwanaume kapigana na mwanaume mwenzake.
 
Sio hadith mzee ni jambo ambalo limenitokea jana tu
 
Bado unaendelea kulala naye duh!
Mkuu una roho ngumu sana au unaishi kwake mwanamke?
Pole sana kwa yote
Mkubwa mwanamke akishakudhihirishia tabia yake na wewe ukajua hawezi kukusumbua tena, huwezi amini jana hiyo hiyo nilikuwa nacheka sana
 

Pole sana JAPO kuna mstari sijauelewa, huu hapa...
🥺 Mwanamke niliyemtarajia kufunga naye pingu za maisha kaamua kunisaliti.

Inamaana huyo hakuwa mke wako bali mchumba wako, na kama ni kweli basi hujamtendea haki;
Unawezaje kuishi na mwanamke miaka mitatu na huna ndoa na huku unajivunia kuwa ni mke wako?
KWA MCHUMBA LOLOTE LINAWEZA KUTOA NA NDIO HILO LIMETOKEA
Siku nyingine, usijichukulie sheria mkononi kupiga mtoto wa watu, huwezi juwa ...... ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…