Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Good riddance, tafuta mwingine na huna haja ya kupiga, unaweza ua au kilema ukaenda jela
 
Naunga mkono hoja yako
 
Usiishi na Msaliti mkuu, mwache aende ili akaendelee kuishi na huyo aliyekuwa anamnunulia nguo. Kuwa jasiri kijana.
 
Moja si mke ujafunganaye ndoa, pili pole utakaa sawa, tatu endelea na maisha utapata mwingine.
 
ANOTHER MAN DOWN

WANAWAKE WA SIKUIZI JAU SANA MIMI MWENYEW NIKO MBIONI KUMWAGIA MTU TINDIKALI, MTASIKIA TUU KWA MILLARD AYO

HIZI KENGEE HAZITUI ZINATAKA NINI?
 
Usiseme "Nikamuuliza Mwanamke WANGU........, Sema Nikamuuliza Mwanamke WETU......"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…