Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Ulipoanza kusema tuu "mwanamke wangu" nikajua boya fulani kajichanganya........kwanini umpige mwanamke umtie majeraha.....piga mwanao acha ujinga.....mbwiga wewe
 
Wapi nmetaja neno malaya ??
Mara mia nioe mjane kuliko mwanamke ambaye si BIKRA na hakuwahi kuolewa
Jamaa angu kabisa kabisa japo kanizidi miaka 10 ila ni Mwanangu sana katika harakat za Maisha aliozeshwa kabinti kana miaka 17 kijijin kakiwa virgin kabisa akakatatua yeye na wamezaa watoto wa3 sasa Mwanamke kashatoroka mara 3 hii na huko aliko sasa kazalishwa na Muhuni tu
 
Mie na sema kama unataka kuishi marefu na mwanamke wako kitu kinachoitwa simu ya mwanamke wako acahana nayo aiseee utakufa mapema aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…