Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hii ni kweli.Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka.
Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae.
Pang Fung Mi
Naunga mkonoMwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka.
Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae.
Pang Fung Mi
Mdada upo ?Duh aiseee
Mdada upo ?
Kitambo sana siku hizi sipo active sanaNipo Mkuu