DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Jumapili njema .
Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA.
Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power
incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au wazo lake .
Hoja hii nitaithibitisha kupitia Mama kwa mtoto wake na Mke Kwa Mume wake .
Katika kutembea huku na kule mwaka 2017 nilikaa na kuishi eneo la ukonga katika zile kota za maaskari.
Kila jumamosi na jumapili nilikuwa nikiona wanawake wakija kuwatembelea vijana wao waliopo gerezani
Kiufupi wanawake walikuwa wanakuja Kwa wingi huku wakiamini hao vijana kuna siku watatoka gerezani na kuwa watu wema. Hii nguvu inaitwa Incubation power.
swala la pili katika ndoa .
Ni rahisi mwanamke kuishi na mwanaume mlevi Ila sio rahisi mwanaume kuishi na mwanamke mlevi napozungumzia ulevi nazungumzia tilalila John worker.
Hivyo Kwa hili wanawake msiendelee kujichukulia kawaida Mungu kaweka uwezo mkubwa ndani yenu jitahidini muutumie vizuri huo uwezo katika mambo chanya.
Incubation power inaweza kukufanya ukaanzisha Biashara na ukawa na uvumilivu hadi Biashara ikakua .