Mwanamke

Tujikumbushe maandiko matakatifu haswa kwenye Dini Kubwa (Muslim na Kristian)

Mwanamke ni kiumbe dhaifu na hata ushahidi wake unakubarika pale wanapokuwa wawili si mmoja,
Mwanamke kama si mama basi shangazi Dada au Mke analea mimba Miezi 9 tumboni cha ajabu anamtupa mtoto au anatoa mimba...
Maandiko:Usiwauwe wanawenu kwa sababu ya umasikini kwani tumewadhurukuni nyinyi na wao....

Dhana na ukweli:Nchi zilizopakana zenye marais wa kike watupu kwa Mf Mataifa ya East Africa waongozwe na wanawake basi hizo nchi zitakuwa na tabia za viongozi wao kununiana (Awasemezani mambo ya umbea umbea),,
 
Wivu wa kike wala sio kitu kibaya inakuwa mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike ila kwa wanawake wenyewe ni poa tu.
 
Wivu wa kike wala sio kitu kibaya inakuwa mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike ila kwa wanawake wenyewe ni poa tu.

Sasa kama wivu wa kike siyo kitu kibaya kwa nini iwe mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike?

Mantiki iko wapi kwenye hiyo kauli yako ndugu?

Na wivu wa kike ukoje hasa?
 
Okay, lakini kwa nini iwe hivyo?

Kwani uanamke ni laana?

sababu hata vitabu tunavyo viita vitakatifu,na ambavyo tunaviheshimu havijampa thamani mwanamke.na ukiangalia sehemu nyingi duniani tunaishi kimapokeao.mfano mwanao mdogo ataishi kulingana na wewe ulivyo mjenga na jinsi dunia ilivyo mjenga.ndo maana muendelezo unakua hvyo hvyo.
 
Okay, lakini kwa nini iwe hivyo?

Kwani uanamke ni laana?

sababu hata vitabu tunavyo viita vitakatifu,na ambavyo tunaviheshimu havijampa thamani mwanamke.na ukiangalia sehemu nyingi duniani tunaishi kimapokeao.mfano mwanao mdogo ataishi kulingana na matendo ya wewe ulivyo mjenga na dunia ilivyo mjenga.ndo maana muendelezo unakua hvyo hvyo.
 
Maandiko ya nini? Tamaduni nyingi kama si zote za kiafrika na hata dunia kwa ujumla zimemfanya mwanamke ni binadamu wa kiwango cha chini tangu enzi na enzi. Kwa kiasi fulani hizi dini mnazoita za kuja zimewapa haki nyingi sana wanawake. Kwa mfano sasa hivi na wao wanaweza kuwa na kibesi cha kusema "naachana na mwanaume huyu kwa sababu anatoka na mwanamke mwingine". Kabla ya hapo mwanaume alikuwa ana uwezo wa kuwa na idadi yeyote ya wanawake na wasiseme kitu.
 
Sasa kama wivu wa kike siyo kitu kibaya kwa nini iwe mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike?

Mantiki iko wapi kwenye hiyo kauli yako ndugu?

Na wivu wa kike ukoje hasa?
Kwa sababu ni mwanaume. Wewe kama ni mwanaume kwa nini uwe na wivu wa kike? Ukitaka kujua wivu wa kike ukoje muulize 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:
Ni hali ya asili kwa wa mama maana mwenendo wao, matamanio yao n.k ndivyo walivyo,, hebu angalia wana mziki ukiwaona wanavyojidhalilisha kwa mavazi na kucheza kwao ni toafauti na wanaume
 
Mimi naku sapoti kabisa. Matusi mengi yanatukanwa kike. Mfano mwananamke mchawi huitwa WITCH....na mwanaume akiwa mchawi huitwa WIZARD............
Lakini likija suala la kuutamka uchawi kama nomino wanautamka kike....wanaita WITCHCRAFT!!!! yaani ukiangalia asili yake utagundua nomino hiyo imemchukua mwanamke!! Hutasikia uchawi ukiitwa WIZARDCRAFT...........!!!!!
 
Kwa sababu ni mwanaume. Wewe kama ni mwanaume kwa nini uwe na wivu wa kike? Ukitaka kujua wivu wa kike ukoje muulize 'Valentina'

Naona mantiki imepita juu ya kichwa chako.

Mwenyewe ushasema kwamba wivu wa kile wala si kitu kibaya sasa kwa nini mwanaume akiwa na wivu wa kike kuwe kuna ubaya?
 
Naona mantiki imepita juu ya kichwa chako.

Mwenyewe ushasema kwamba wivu wa kile wala si kitu kibaya sasa kwa nini mwanaume akiwa na wivu wa kike kuwe kuna ubaya?
Hatuwezi kufikiri sawasawa na unachoona wewe mantiki sio lazima kiwe mantiki. Nimekupa jibu ni kwa sababu ni mwanaume. hata mwanamke kuwa na wivu wa kiume sio poa kabisa labda nikikwambia hivyo ndio utaridhika!
 
Hatuwezi kufikiri sawasawa na unachoona wewe mantiki sio lazima kiwe mantiki.

Naam, hiyo ni kweli kabisa na kama tungekuwa darasani wala tusingepata alama sawa.

Nimekupa jibu ni kwa sababu ni mwanaume.

Jibu lako halijitoshelezi. Huwezi tu kusema "kwa sabau ni mwanaume" na ukaishia hapo.

hata mwanamke kuwa na wivu wa kiume sio poa kabisa labda nikikwambia hivyo ndio utaridhika!

1] Wivu wa kiume ndo ukoje huo? Unaweza kuuelezea?

2] Kwa nini siyo poa kwa mwanamke kuwa na wivu wa kiume?

3] Sitegemei uyajibu hayo maswali kikamilifu kwa sababu sidhani kama una uwezo wa kuyajibu.
 
Well your impatience is gonna cost you this time. I am not here to prove anything to anyone and since you have taken the position to demand me to conform to your way of thinking on this one, I am officially done!

I hope you enjoy your victory!
 
My pleasure!

You just proved exactly what I said.
 
Jarib kumuelewa uckazanie neno KE bila kutafakar asemacho, kwamfano we ni ME iweje uwe na characters za KE au wew ni KE iweje uwe na characters za ME Hiko k2 kbaya sana ndio anacho maanisha mwenzio
Naona mantiki imepita juu ya kichwa chako.

Mwenyewe ushasema kwamba wivu wa kile wala si kitu kibaya sasa kwa nini mwanaume akiwa na wivu wa kike kuwe kuna ubaya?
 
Jarib kumuelewa uckazanie neno KE bila kutafakar asemacho, kwamfano we ni ME iweje uwe na characters za KE au wew ni KE iweje uwe na characters za ME Hiko k2 kbaya sana ndio anacho maanisha mwenzio

Umuejuaje kama hicho ndo anachomaanisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…