Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Sasa kwa nini unamtetea hapa...?
Sasa nawewe kwanini unamfukuza hapa...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini unamtetea hapa...?
Sasa nawewe kwanini unamfukuza hapa...?
Kwa sababu ni mpambe wa Kim Jong Un
Wivu wa kike wala sio kitu kibaya inakuwa mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike ila kwa wanawake wenyewe ni poa tu.Binafsi nadhani ni jamii nyingi [siwezi kusema ni zote kwa sababu sina ushahidi huo] ziko hivyo.
Na la kustaajabisha zaidi unakuta wanawake hao hao ndo wako mstari wa mbele kutukana watu matusi yahusuyo uanamke.
Bado kabisa sielewi kwa nini uanamke huhusishwa na mambo mabaya mabaya tu.
Mpaka eti kuna 'wivu wa kike'.
Sasa huo wivu wa kike sijui ukoje na upo wa kike, je, ina maana na wa kiume upo?
Wivu wa kike wala sio kitu kibaya inakuwa mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike ila kwa wanawake wenyewe ni poa tu.
Okay, lakini kwa nini iwe hivyo?
Kwani uanamke ni laana?
Okay, lakini kwa nini iwe hivyo?
Kwani uanamke ni laana?
Maandiko ya nini? Tamaduni nyingi kama si zote za kiafrika na hata dunia kwa ujumla zimemfanya mwanamke ni binadamu wa kiwango cha chini tangu enzi na enzi. Kwa kiasi fulani hizi dini mnazoita za kuja zimewapa haki nyingi sana wanawake. Kwa mfano sasa hivi na wao wanaweza kuwa na kibesi cha kusema "naachana na mwanaume huyu kwa sababu anatoka na mwanamke mwingine". Kabla ya hapo mwanaume alikuwa ana uwezo wa kuwa na idadi yeyote ya wanawake na wasiseme kitu.Tujikumbushe maandiko matakatifu haswa kwenye Dini Kubwa (Muslim na Kristian)
Mwanamke ni kiumbe dhaifu na hata ushahidi wake unakubarika pale wanapokuwa wawili si mmoja,
Mwanamke kama si mama basi shangazi Dada au Mke analea mimba Miezi 9 tumboni cha ajabu anamtupa mtoto au anatoa mimba...
Maandiko:Usiwauwe wanawenu kwa sababu ya umasikini kwani tumewadhurukuni nyinyi na wao....
Dhana na ukweli:Nchi zilizopakana zenye marais wa kike watupu kwa Mf Mataifa ya East Africa waongozwe na wanawake basi hizo nchi zitakuwa na tabia za viongozi wao kununiana (Awasemezani mambo ya umbea umbea),,
Kwa sababu ni mwanaume. Wewe kama ni mwanaume kwa nini uwe na wivu wa kike? Ukitaka kujua wivu wa kike ukoje muulize 'Valentina'Sasa kama wivu wa kike siyo kitu kibaya kwa nini iwe mbaya kwa mwanaume kuwa na wivu wa kike?
Mantiki iko wapi kwenye hiyo kauli yako ndugu?
Na wivu wa kike ukoje hasa?
Kwa sababu ni mwanaume. Wewe kama ni mwanaume kwa nini uwe na wivu wa kike? Ukitaka kujua wivu wa kike ukoje muulize 'Valentina'
Hatuwezi kufikiri sawasawa na unachoona wewe mantiki sio lazima kiwe mantiki. Nimekupa jibu ni kwa sababu ni mwanaume. hata mwanamke kuwa na wivu wa kiume sio poa kabisa labda nikikwambia hivyo ndio utaridhika!Naona mantiki imepita juu ya kichwa chako.
Mwenyewe ushasema kwamba wivu wa kile wala si kitu kibaya sasa kwa nini mwanaume akiwa na wivu wa kike kuwe kuna ubaya?
Hatuwezi kufikiri sawasawa na unachoona wewe mantiki sio lazima kiwe mantiki.
Nimekupa jibu ni kwa sababu ni mwanaume.
hata mwanamke kuwa na wivu wa kiume sio poa kabisa labda nikikwambia hivyo ndio utaridhika!
Well your impatience is gonna cost you this time. I am not here to prove anything to anyone and since you have taken the position to demand me to conform to your way of thinking on this one, I am officially done!Naam, hiyo ni kweli kabisa na kama tungekuwa darasani wala tusingepata alama sawa.
Jibu lako halijitoshelezi. Huwezi tu kusema "kwa sabau ni mwanaume" na ukaishia hapo.
1] Wivu wa kiume ndo ukoje huo? Unaweza kuuelezea?
2] Kwa nini siyo poa kwa mwanamke kuwa na wivu wa kiume?
3] Sitegemei uyajibu hayo maswali kikamilifu kwa sababu sidhani kama una uwezo wa kuyajibu.
Well your impatience is gonna cost you this time. I am not here to prove anything to anyone and since you have taken the position to demand me to conform to your way of thinking on this one, I am officially done!
I hope you enjoy your victory!
Naona mantiki imepita juu ya kichwa chako.
Mwenyewe ushasema kwamba wivu wa kile wala si kitu kibaya sasa kwa nini mwanaume akiwa na wivu wa kike kuwe kuna ubaya?
Jarib kumuelewa uckazanie neno KE bila kutafakar asemacho, kwamfano we ni ME iweje uwe na characters za KE au wew ni KE iweje uwe na characters za ME Hiko k2 kbaya sana ndio anacho maanisha mwenzio