Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

hupend mlevi niko hapa mlevi mbwa
 
ili mradi nafasi yangu ya 'upenzi utazamaji' iwe palepale wala sina wasi kabisa
 
Kumbe ulikuwepo Dar kwanini hujanitafuta mpenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Number 9 na 10 nimezipenda sana. Napenda mwanaume tallest Ili akiwa juu namwangalia machoni akinikumbatia ananifunika mwili mzima naweza kumrukia akanibeba ka mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚unajua hizo ni stereotype tu my dear...haha wapo wanaume wafupi wanajua sana kukumbatia freshy kbs...! ukikua utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ