Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

Kwa sababu mm najijua nilivyo
nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .

1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha

2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.

3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.

4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.

5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.

6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.

7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.

8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.

9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.

10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .

OVA

LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.

Nyongeza :

Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.

OVA.

Sent using Jamii Forums mobile app
hupend mlevi niko hapa mlevi mbwa
 
ili mradi nafasi yangu ya 'upenzi utazamaji' iwe palepale wala sina wasi kabisa
 
Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .

1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha

2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.

3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.

4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.

5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.

6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.

7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.

8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.

9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.

10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .

OVA

LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.

Nyongeza :

Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.

OVA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulikuwepo Dar kwanini hujanitafuta mpenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Number 9 na 10 nimezipenda sana. Napenda mwanaume tallest Ili akiwa juu namwangalia machoni akinikumbatia ananifunika mwili mzima naweza kumrukia akanibeba ka mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂unajua hizo ni stereotype tu my dear...haha wapo wanaume wafupi wanajua sana kukumbatia freshy kbs...! ukikua utaacha
 
Back
Top Bottom