General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwanamke nshawahi kuwa nae mwanzo nikawa hovyo baadae nikampenda nikalegeza aisee!!!! Sema kwa akili za Kimungu nikapiga kona we are now expecting. Wanawake mnapenda vurugu in nature.
Kwa mfano ulivyokwepa sasa hivi
Sawa, usijali na mimi nikija huko nitaufyata kama wewe ngoma iwe droo
Kuna mwanamke nshawahi kuwa nae mwanzo nikawa hovyo baadae nikampenda nikalegeza aisee!!!! Sema kwa akili za Kimungu nikapiga kona we are now expecting. Wanawake mnapenda vurugu in nature.
Sawa, usijali na mimi nikija huko nitaufyata kama wewe ngoma iwe droo
hupend mlevi niko hapa mlevi mbwaKwa sababu mm najijua nilivyo
nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .
1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha
2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.
3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.
4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.
5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.
6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.
7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.
8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.
9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.
10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .
OVA
LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.
Nyongeza :
Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.
OVA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]Huu ndo mwezi
pekee ambao Hata
ukienda na buku
kama mahari
unapewa mke
aiseee😀😀😀
Usicheke cariha,
Kumbe ulikuwepo Dar kwanini hujanitafuta mpenzi?Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .
1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha
2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.
3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.
4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.
5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.
6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.
7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.
8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.
9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.
10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .
OVA
LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.
Nyongeza :
Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.
OVA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Number 9 na 10 nimezipenda sana. Napenda mwanaume tallest Ili akiwa juu namwangalia machoni akinikumbatia ananifunika mwili mzima naweza kumrukia akanibeba ka mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app