Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
17,894
Reaction score
14,783

Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
 
😂

Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM

Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti

Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼

Natamani hiyo Press wangekuwepo watangazaji wa Citizen tv akina Abdul kadir, Yvonne, Barron, Sammy, Trevel, Jamila, Mashirima na Muongizaji awe Jeff dadeki 😂😂✔️
 
Mwekezaji Rostam Aziz anatarajia kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV.

Ikumbukwe kwa siku za hivi karibuni Mwanasiasa Humphrey Polepole amekuwa akimshtumu kuhusika kwenye mambo mbalimbali ikiwemo ufusadi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…