Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi a.k.a kujizima data😂
Nadhani vita ya Rostam na Polepole itakayoathirika ni CCM
Wote wamekuwa Wajumbe wa Kamati kuu ya chama hivyo wanajua mambo mengi kwa sababu wamekuwepo pia kwenye sekretarieti
Majibizano yakikata kona na kwenda personal basi CCM itaumizwa pakubwa 🐼
Huyu hakika ni mwizi tu; matajiri wa kweli hukaa mbali na kelele; nani amewahi kumsikia Dangote akigombana na raia wa Nigeria?View attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Hana haja ya kumjibu. Slowslow sio level ya Rostam. Kama alimwondoa Ngosha aliyekuwa na ulinzi wa kutisha sembuse kidudumtu Polepole!Anakuja kujibu hoja za Pole Pole au?
Jamaa ana hofu maana alikuwa anafanya ushenzi bila ya wananchi kumtambua sasa wananchi wameanza kumtambua yeye ni nani kwenye kulinajisi taifaView attachment 3462171
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
Sio lazima sana iwe hivyo , maana slowslow yupo anytime nyakati hizi, ni unkwepaboIla ameingia kwenye mfumo au Polepole alipata information kwamba Rostam atafanya mahojiano?
Hii ina usahihi wowote ?
Ndio matajiri wa U.S ndio wanaiongoza marekaniMfanyabiashara ambaye anatumualia watanzania hatima yetu, hivi hata marekani Zuckerberg anawapangia wamarekani maisha yao?